Wanasiasa wote wa Kiume Wake zao wangekuwa wazuri kama wa Lema ingependeza sana

Muangalie kwanza mama yako ana sifa unazosema kama hana bs kaa kmya ikibidi ushone domo lko
 
hahaha utani huu sasa tafuta mmachame ni wazur sana mkuu
 
Hata kama tunatofautiana kiitikadi, si vyema kuwahusisha wanafamilia au kuhusisha mambo ya kifamilia na siasa. Niseme pia hata wale wanaomsema RC wa Dar kuwa hana mtoto wanamkosea na kumkufuru sana Mungu. Hakuna mwanandoa asiyependa kuzaa mtoto(hasa ndoa za kiafrika), lakini kupata ni majaliwa ya mola. Tuongelee vyeti vya Bashite mpaka asubuhi, lakini mambo ya mke wake au familia yake yawekwe kando. Tuongelee kesi za Lema bila kushusha heshima ya mke wake.
 
Mkuu unamjua wa marehemu Filikunjombe?
Yani nilikua nasoma comment halafu niseme hamjamuona Sarahabiba... Ni mrembo alafu jembe balaaa.Mkulima wa nguvu na anawapenda wanae hadi raha. I love her
 
Mambo ya fwedha mkuu, sasa mke yuko huku kwetu Kwamtogole, asubuhi anafikiria kwenda Ada Estate akaokote miti iliyopunguzwa ili apate kuni. Hayo mawazo ya gym na dieting atayapata wapi?
Hahahaaaaaa..
Kweli kabisa.
 
Mkuu hata wewe mbona mzuri kuliko hata Halima Mdee? ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…