mmmmmh prof naona umeamuwa kunikomoa sasa ila sio mbaya
Je WA Zitto Kabwe[emoji4] [emoji134]Wa makonda mzuri
Mama salma mke wa jk mzuri
Mke wa pinda mzuri
Mke wa mbowe mzuri
Josephine slaa mzuri
Yule ata mimi namuelewaMke wa zitto nae ni kifaa jamani, mtoto wa kimanga rangi ya mtume
Je WA Zitto Kabwe[emoji4] [emoji134]
Msifie wakwako acha kusifia wa mwenzieKatika kufuatilia fuatilia Wake za Wanasiasa hapa nchini Tanzania jana ndiyo nimegundua kuwa kumbe Lema alikuwa na maana yake alivyokuwa analia, kukonda na kung'ang'ania kutoka Kolokoroni alikokuwa kwa takribani siku 121.
Ukweli ni kwamba Mke wa Mbunge wa Arusha mjini Godbless Jonathan Lema aitwae Neema ni Mrembo hasa na leo nidiriki tu kusema ukweli wangu wa kutoka moyoni kabisa kuwa sijawahi kuona Mwanasiasa wa Kiume hapa Tanzania tokea ipate Uhuru wake mwaka 1961 mwenye Mke mzuri na mrembo wa kweli kabisa kama Mke wa Lema.
Neema Mke wa Mbunge Lema ana.......
Enyi Wanasiasa wengine wa Kiume wa Tanzania igeni kwa mwenzenu Mbunge Lema kwa kujua kuchagua Mke very photogenic kwani yawezekana Lema anafanikiwa sana Kisiasa kutokana na ushirikiano mzuri wa Kiurembo kutoka kwa Mkewe ambao humtia moyo Mumewe na kuweza kuchapa kazi vizuri na kuwa Mtendaji na Mwanasiasa mzuri.
- Tabasamu zuri
- Macho mazuri
- Komwe zuri
- Miguu myembamba inayokubali Nguo zozote na hali ya hewa yoyote ile
- Meno yake yamejipanga na yamepangika kimwonekano
- Ana superb body structure kuanzia mabegani Kwake hadi Magotini
- Anajua kupangilia nguo vizuri na zinampendeza hasa
Kuna wengine Wake zenu huwa kila nikiwaona nao huwa najiuliza mlioa wenyewe kwa Utashi wenu au mlikabidhishwa tu Kimila hivyo kama mngewakataa mngelaaniwa!
Sijui na Mimi nitapata wapi Mke mzuri kama wa Mbunge wa Arusha mjini Mheshimiwa Godbless J. Lema Dada Neema ili nami niweze kutamba nae mjini hapa.
Wa zitto ndiyo balaa,wanaendana faraja nyalanduJe WA Zitto Kabwe[emoji4] [emoji134]
Yani sio WA nchi hii waleWa zitto ndiyo balaa,wanaendana faraja nyalandu
Wote hawa nimewaona live,ni visu kwelikweli
RwandeseRwandaise,tutsi ethinic.
Ni kweli mke wa Bashite mzuri sema hajajijulia tu pamba na kujipodoa kidogo, she is too much natural ka misitu. Ila wa Lema mwisho wa reli aiseeSi utani mke wa Daudi Bashite ni kifaa tena ana black beauty ile natural.
Faraja wa kawaida tu sema ana bebwa na umaarufu wa umiss, Mrs lema, na Mrs Bashite ni hatari sanaFaraja nae ni kifaa, matatizo hatumuoni tena bwana shemeji katika awamu hii mpaka tunaanza kuwasahau.
Hahaaaaaaa hatari sana aiseeeMimi ndo nilikua nampelekea barua kutoka kwa lema enzi izo anafukuzia