Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maneno makali sana uliyotumia mkuu m.......Halafu naskia Bashite ana mke mgumba au Bashite mwenyewe ndo mgumba
rwandaise ni kifaransa mpendwa hajakoseaRwandese
Kwa kweliBeautiful couple
Inamaana unge mchepuka mmeo.So sad indeed maskini ningekuwa Mimi ningetafta namna
...id + avi = walewale!rwandaise ni kifaransa mpendwa hajakosea
Katika kufuatilia fuatilia Wake za Wanasiasa hapa nchini Tanzania jana ndiyo nimegundua kuwa kumbe Lema alikuwa na maana yake alivyokuwa analia, kukonda na kung'ang'ania kutoka Kolokoroni alikokuwa kwa takribani siku 121.
Ukweli ni kwamba Mke wa Mbunge wa Arusha mjini Godbless Jonathan Lema aitwae Neema ni Mrembo hasa na leo nidiriki tu kusema ukweli wangu wa kutoka moyoni kabisa kuwa sijawahi kuona Mwanasiasa wa Kiume hapa Tanzania tokea ipate Uhuru wake mwaka 1961 mwenye Mke mzuri na mrembo wa kweli kabisa kama Mke wa Lema.
Neema Mke wa Mbunge Lema ana.......
Enyi Wanasiasa wengine wa Kiume wa Tanzania igeni kwa mwenzenu Mbunge Lema kwa kujua kuchagua Mke very photogenic kwani yawezekana Lema anafanikiwa sana Kisiasa kutokana na ushirikiano mzuri wa Kiurembo kutoka kwa Mkewe ambao humtia moyo Mumewe na kuweza kuchapa kazi vizuri na kuwa Mtendaji na Mwanasiasa mzuri.
- Tabasamu zuri
- Macho mazuri
- Komwe zuri
- Miguu myembamba inayokubali Nguo zozote na hali ya hewa yoyote ile
- Meno yake yamejipanga na yamepangika kimwonekano
- Ana superb body structure kuanzia mabegani Kwake hadi Magotini
- Anajua kupangilia nguo vizuri na zinampendeza hasa
Kuna wengine Wake zenu huwa kila nikiwaona nao huwa najiuliza mlioa wenyewe kwa Utashi wenu au mlikabidhishwa tu Kimila hivyo kama mngewakataa mngelaaniwa!
Sijui na Mimi nitapata wapi Mke mzuri kama wa Mbunge wa Arusha mjini Mheshimiwa Godbless J. Lema Dada Neema ili nami niweze kutamba nae mjini hapa.
MtutsiVipi wa bar..shee teee yupoje
Ya kinyarwanda hasa [emoji8] she is BeautifulSi utani mke wa Daudi Bashite ni kifaa tena ana black beauty ile natural.
Duh!!![emoji87][emoji87][emoji87][emoji87]Bashite atakua ndo ameoza
We can't go back in timeSitti Mwinyi Ana 83 yuko vile mrudishe kwny age ya Mke wa Lema
Mchukue Mke wa Lema forward umri wake mpaka 83 mlinganishe na Sitti Mwinyi then rudi hapa utupe analysis yake
We can't go back in time