Wanasiasa wote wa Kiume Wake zao wangekuwa wazuri kama wa Lema ingependeza sana

Wanasiasa wote wa Kiume Wake zao wangekuwa wazuri kama wa Lema ingependeza sana

Anayeweza kupangilia pamba zikamkaa sawa kama mama Salma. Wadada Na nyie mjichagulie waume handsome na wasafi. Kama JK.
kusema nilikuwa simkuali JK kwa style yake ya uongozi lakini knye maisha binafsi aka pamba, mke mzuri, kujichanganya na raia ( mara nyingi nimekuta mazungumzo wanawake wanamfagilia sana JK sidhani kama kuna papuchi anaikosa akitaka yule mzee
 
Katika kufuatilia fuatilia Wake za Wanasiasa hapa nchini Tanzania jana ndiyo nimegundua kuwa kumbe Lema alikuwa na maana yake alivyokuwa analia, kukonda na kung'ang'ania kutoka Kolokoroni alikokuwa kwa takribani siku 121.

Ukweli ni kwamba Mke wa Mbunge wa Arusha mjini Godbless Jonathan Lema aitwae Neema ni Mrembo hasa na leo nidiriki tu kusema ukweli wangu wa kutoka moyoni kabisa kuwa sijawahi kuona Mwanasiasa wa Kiume hapa Tanzania tokea ipate Uhuru wake mwaka 1961 mwenye Mke mzuri na mrembo wa kweli kabisa kama Mke wa Lema.

Neema Mke wa Mbunge Lema ana.......

  1. Tabasamu zuri
  2. Macho mazuri
  3. Komwe zuri
  4. Miguu myembamba inayokubali Nguo zozote na hali ya hewa yoyote ile
  5. Meno yake yamejipanga na yamepangika kimwonekano
  6. Ana superb body structure kuanzia mabegani Kwake hadi Magotini
  7. Anajua kupangilia nguo vizuri na zinampendeza hasa
Enyi Wanasiasa wengine wa Kiume wa Tanzania igeni kwa mwenzenu Mbunge Lema kwa kujua kuchagua Mke very photogenic kwani yawezekana Lema anafanikiwa sana Kisiasa kutokana na ushirikiano mzuri wa Kiurembo kutoka kwa Mkewe ambao humtia moyo Mumewe na kuweza kuchapa kazi vizuri na kuwa Mtendaji na Mwanasiasa mzuri.

Kuna wengine Wake zenu huwa kila nikiwaona nao huwa najiuliza mlioa wenyewe kwa Utashi wenu au mlikabidhishwa tu Kimila hivyo kama mngewakataa mngelaaniwa!

Sijui na Mimi nitapata wapi Mke mzuri kama wa Mbunge wa Arusha mjini Mheshimiwa Godbless J. Lema Dada Neema ili nami niweze kutamba nae mjini hapa.


Mkuu ni kweli uyasemayo. Lakini najiuliza maswali mengi juu ya post yako naomba unijibu. Una dada? Je ni mzuri kama mke wa Lema? Kama ni wa kawaida umeishaanza kumuandaa kisaikrojia aolewe na mkata mkaa? Maana unaona wanawake wazr tu ndio wanafaa kuolewa na wanasiasa unasahau tunao wanasiasa akina mama wabaya wa sura lakini wazuri kichwani mfano Mdee, Nk
 
kusema nilikuwa simkuali JK kwa style yake ya uongozi lakini knye maisha binafsi aka pamba, mke mzuri, kujichanganya na raia ( mara nyingi nimekuta mazungumzo wanawake wanamfagilia sana JK sidhani kama kuna papuchi anaikosa akitaka yule mzee
Ahaaaah Yule Mzee ni Handsome na wamama/wadada huvutiwa sana na wanaume watanashati hata bure. Ugly men kama piemu aliyepita plus Tyson ni Pesa tu uwe nayo si kupendwa!!
 
naona sasa mmeacha kusifia madudu yao , mmeanza kwa wake zao!![emoji23][emoji23]
we've a long way to Go
 
Ahaaaah Yule Mzee ni Handsome na wamama/wadada huvutiwa sana na wanaume watanashati hata bure. Ugly men kama piemu aliyepita plus Tyson ni Pesa tu uwe nayo si kupendwa!!
Ahaaa ahaaa umenikumbusha PM aliyepita mbavu zimepanuka alikuwa gumzo kwa mabinti kwa walivyokuwa wanamponda, alikuwa mfano mzuri wa kitisho
 
Ok bas no Nlijua mchaga kwa sbb mama yake ni mchaga ila sijui baba ni kabila gan.
Aise we jamaa muongo, na sijui taarifa zako unatoa wapi.

Huyo binti anavyoonekana ndio copy ya Mama yake...Mama ni Mwalimu kanifundisha miaka ya mapema ya tisini na anavyoongea wala huhitaji elimu ya chuo kugundua ni Muhaya.
 
Si fahamu mkuu lakini ana haiba za u-Hangaza au ile nchi ya Kagame.
Kama ni kweli ni M Hangaza! Kangame noma! Hayo ni mapandikizi ya Kagame!! Atakuwa yupo kwa kazi maalumu report atakuwa anazipeleka kwa Kagame hahaha
 
Wa makonda mzuri

Mama salma mke wa jk mzuri

Mke wa pinda mzuri

Mke wa mbowe mzuri

Josephine slaa mzuri


Hata mke wa Mwai Kibaki ni Chuma sana na enzi zake watu walitwangana makonde ili wampate Kibaki akawazzidi kete.
 
Mama yake Maria mchaga?mama yake Maria ni mnyarwanda.Maria mke wa Daudi Bashite.
Yani yeye na mama yake wamefanana na wale wa kwetu pazuri haswaa..nilivyomuona first nilihis tu huyu mnyarwanda
 
Halafu naskia Bashite ana mke mgumba au Bashite mwenyewe ndo mgumba
Usiseme hivyo..maneno makali sana hayo hakuna anayependa kuwa mgumba..
Time will tell Mungu anaweza wajalia..hata 10yrs ya ndoa bado...
 
9f8614b8cebaabed74adc4b4c95573c5.jpg
Hapa lazima apendwe
 
Back
Top Bottom