BansenBurner
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,810
- 5,773
[emoji1] [emoji1]Alieleta hii post kataka tulinganishe kuanzia 1961 halaf unasema 'We can't go back in time '[emoji12][emoji12]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1] [emoji1]Alieleta hii post kataka tulinganishe kuanzia 1961 halaf unasema 'We can't go back in time '[emoji12][emoji12]
kusema nilikuwa simkuali JK kwa style yake ya uongozi lakini knye maisha binafsi aka pamba, mke mzuri, kujichanganya na raia ( mara nyingi nimekuta mazungumzo wanawake wanamfagilia sana JK sidhani kama kuna papuchi anaikosa akitaka yule mzeeAnayeweza kupangilia pamba zikamkaa sawa kama mama Salma. Wadada Na nyie mjichagulie waume handsome na wasafi. Kama JK.
Acha wivuHuyo neema sijamkubali hata
Katika kufuatilia fuatilia Wake za Wanasiasa hapa nchini Tanzania jana ndiyo nimegundua kuwa kumbe Lema alikuwa na maana yake alivyokuwa analia, kukonda na kung'ang'ania kutoka Kolokoroni alikokuwa kwa takribani siku 121.
Ukweli ni kwamba Mke wa Mbunge wa Arusha mjini Godbless Jonathan Lema aitwae Neema ni Mrembo hasa na leo nidiriki tu kusema ukweli wangu wa kutoka moyoni kabisa kuwa sijawahi kuona Mwanasiasa wa Kiume hapa Tanzania tokea ipate Uhuru wake mwaka 1961 mwenye Mke mzuri na mrembo wa kweli kabisa kama Mke wa Lema.
Neema Mke wa Mbunge Lema ana.......
Enyi Wanasiasa wengine wa Kiume wa Tanzania igeni kwa mwenzenu Mbunge Lema kwa kujua kuchagua Mke very photogenic kwani yawezekana Lema anafanikiwa sana Kisiasa kutokana na ushirikiano mzuri wa Kiurembo kutoka kwa Mkewe ambao humtia moyo Mumewe na kuweza kuchapa kazi vizuri na kuwa Mtendaji na Mwanasiasa mzuri.
- Tabasamu zuri
- Macho mazuri
- Komwe zuri
- Miguu myembamba inayokubali Nguo zozote na hali ya hewa yoyote ile
- Meno yake yamejipanga na yamepangika kimwonekano
- Ana superb body structure kuanzia mabegani Kwake hadi Magotini
- Anajua kupangilia nguo vizuri na zinampendeza hasa
Kuna wengine Wake zenu huwa kila nikiwaona nao huwa najiuliza mlioa wenyewe kwa Utashi wenu au mlikabidhishwa tu Kimila hivyo kama mngewakataa mngelaaniwa!
Sijui na Mimi nitapata wapi Mke mzuri kama wa Mbunge wa Arusha mjini Mheshimiwa Godbless J. Lema Dada Neema ili nami niweze kutamba nae mjini hapa.
Ahaaaah Yule Mzee ni Handsome na wamama/wadada huvutiwa sana na wanaume watanashati hata bure. Ugly men kama piemu aliyepita plus Tyson ni Pesa tu uwe nayo si kupendwa!!kusema nilikuwa simkuali JK kwa style yake ya uongozi lakini knye maisha binafsi aka pamba, mke mzuri, kujichanganya na raia ( mara nyingi nimekuta mazungumzo wanawake wanamfagilia sana JK sidhani kama kuna papuchi anaikosa akitaka yule mzee
Ahaaa ahaaa umenikumbusha PM aliyepita mbavu zimepanuka alikuwa gumzo kwa mabinti kwa walivyokuwa wanamponda, alikuwa mfano mzuri wa kitishoAhaaaah Yule Mzee ni Handsome na wamama/wadada huvutiwa sana na wanaume watanashati hata bure. Ugly men kama piemu aliyepita plus Tyson ni Pesa tu uwe nayo si kupendwa!!
Aise we jamaa muongo, na sijui taarifa zako unatoa wapi.Ok bas no Nlijua mchaga kwa sbb mama yake ni mchaga ila sijui baba ni kabila gan.
Kama ni kweli ni M Hangaza! Kangame noma! Hayo ni mapandikizi ya Kagame!! Atakuwa yupo kwa kazi maalumu report atakuwa anazipeleka kwa Kagame hahahaSi fahamu mkuu lakini ana haiba za u-Hangaza au ile nchi ya Kagame.
Au la ni Muhaya, au huenda Wahaya na Wanyarwanda wanashahibiana sana.Acha uongo,ni mnyarwanda
Kama ni kweli ni M Hangaza! Kangame noma! Hayo ni mapandikizi ya Kagame!! Atakuwa yupo kwa kazi maalumu report atakuwa anazipeleka kwa Kagame hahahaSi fahamu mkuu lakini ana haiba za u-Hangaza au ile nchi ya Kagame.
Wa makonda mzuri
Mama salma mke wa jk mzuri
Mke wa pinda mzuri
Mke wa mbowe mzuri
Josephine slaa mzuri
hivi alishawahi kumsifia mke wake public, kama alivyofanya kwa mama wa msoga?Magufuli amenzisha trend mbaya ya kusifia wake za watu, naona na nyie mna fuata tuu, shauri yenu
Yani yeye na mama yake wamefanana na wale wa kwetu pazuri haswaa..nilivyomuona first nilihis tu huyu mnyarwandaMama yake Maria mchaga?mama yake Maria ni mnyarwanda.Maria mke wa Daudi Bashite.
Hahahahna namna gani...walokole wale...hataki kucheatSo sad indeed maskini ningekuwa Mimi ningetafta namna
Usiseme hivyo..maneno makali sana hayo hakuna anayependa kuwa mgumba..Halafu naskia Bashite ana mke mgumba au Bashite mwenyewe ndo mgumba
Hapa lazima apendwe