Wanasiasa wote wa Kiume Wake zao wangekuwa wazuri kama wa Lema ingependeza sana

Wanasiasa wote wa Kiume Wake zao wangekuwa wazuri kama wa Lema ingependeza sana

hii habari picha ni sawa tu na makondakta bila vyeti
 
9f8614b8cebaabed74adc4b4c95573c5.jpg
mmmmmh prof naona umeamuwa kunikomoa sasa ila sio mbaya

nakuja muda sio mrefu subir kwanza
 
Kila mwenye mke ni mzuri kwake pekee.wa meingine ntamuona wa kawaida na si zaidi ya wa kwangu,sasa mtoa mada sijui huna mke unatamani wa wengine au vipi hata sijaelewa ila nijuacho ni wa kawaida na hafikii kwa wa kwangu
 
Katika kufuatilia fuatilia Wake za Wanasiasa hapa nchini Tanzania jana ndiyo nimegundua kuwa kumbe Lema alikuwa na maana yake alivyokuwa analia, kukonda na kung'ang'ania kutoka Kolokoroni alikokuwa kwa takribani siku 121.

Ukweli ni kwamba Mke wa Mbunge wa Arusha mjini Godbless Jonathan Lema aitwae Neema ni Mrembo hasa na leo nidiriki tu kusema ukweli wangu wa kutoka moyoni kabisa kuwa sijawahi kuona Mwanasiasa wa Kiume hapa Tanzania tokea ipate Uhuru wake mwaka 1961 mwenye Mke mzuri na mrembo wa kweli kabisa kama Mke wa Lema.

Neema Mke wa Mbunge Lema ana.......

  1. Tabasamu zuri
  2. Macho mazuri
  3. Komwe zuri
  4. Miguu myembamba inayokubali Nguo zozote na hali ya hewa yoyote ile
  5. Meno yake yamejipanga na yamepangika kimwonekano
  6. Ana superb body structure kuanzia mabegani Kwake hadi Magotini
  7. Anajua kupangilia nguo vizuri na zinampendeza hasa
Enyi Wanasiasa wengine wa Kiume wa Tanzania igeni kwa mwenzenu Mbunge Lema kwa kujua kuchagua Mke very photogenic kwani yawezekana Lema anafanikiwa sana Kisiasa kutokana na ushirikiano mzuri wa Kiurembo kutoka kwa Mkewe ambao humtia moyo Mumewe na kuweza kuchapa kazi vizuri na kuwa Mtendaji na Mwanasiasa mzuri.

Kuna wengine Wake zenu huwa kila nikiwaona nao huwa najiuliza mlioa wenyewe kwa Utashi wenu au mlikabidhishwa tu Kimila hivyo kama mngewakataa mngelaaniwa!

Sijui na Mimi nitapata wapi Mke mzuri kama wa Mbunge wa Arusha mjini Mheshimiwa Godbless J. Lema Dada Neema ili nami niweze kutamba nae mjini hapa.
Msifie wakwako acha kusifia wa mwenzie
 
Mke mzuri alikuwa wa Salmin Amour enzi zile kabla hawajaachana.Jimwanamke la kichaga jeupeeeee refu limejazia tamuuu.Likiingia uwanja wa taifa enzi hizo kwenye sikukuu za kitaifa daaah moto moto
 
Back
Top Bottom