Huyu wazitto labda hyo rangi yake tu kwakweli
Zito ndio mwisho[emoji4]
Hii ngoma inaweza ikawa ukifananisha na mrs nyalandu
[emoji134] Munguu usikute we ni jirani yake unamjua akiwa hana makeup[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Huyu wazitto labda hyo rangi yake tu kwakweli
Acha uongo wewe nani kakudanganya kuwa Mke wa Makonda ni mchaga?!Acha uongo,ni mnyarwanda
Acha wivuMbona hana uzuri wowote
Mke wa Bashite ni mchaga safi kabisa, nishawahi kumuona Makonda akisema kuwa mke wake ni MchagaOk bas no Nlijua mchaga kwa sbb mama yake ni mchaga ila sijui baba ni kabila gan.
Mmmh mbona nasikia ni wa nchi zile za jirani? tutajua tu soonMke wa Bashite ni mchaga safi kabisa, nishawahi kumuona Makonda akisema kuwa mke wake ni Mchaga
Anayeweza kupangilia pamba zikamkaa sawa kama mama Salma. Wadada Na nyie mjichagulie waume handsome na wasafi. Kama JK.Mtoa Uzi unajua sifa za mwanamke mzuri?
So sad indeed maskini ningekuwa Mimi ningetafta namnaMama Bashite ni mrembo amenyimwa tu mume mwenye mayai.
Uzuri wa mke ni tabia wewe.....Katika kufuatilia fuatilia Wake za Wanasiasa hapa nchini Tanzania jana ndiyo nimegundua kuwa kumbe Lema alikuwa na maana yake alivyokuwa analia, kukonda na kung'ang'ania kutoka Kolokoroni alikokuwa kwa takribani siku 121.
Ukweli ni kwamba Mke wa Mbunge wa Arusha mjini Godbless Jonathan Lema aitwae Neema ni Mrembo hasa na leo nidiriki tu kusema ukweli wangu wa kutoka moyoni kabisa kuwa sijawahi kuona Mwanasiasa wa Kiume hapa Tanzania tokea ipate Uhuru wake mwaka 1961 mwenye Mke mzuri na mrembo wa kweli kabisa kama Mke wa Lema.
Neema Mke wa Mbunge Lema ana.......
Enyi Wanasiasa wengine wa Kiume wa Tanzania igeni kwa mwenzenu Mbunge Lema kwa kujua kuchagua Mke very photogenic kwani yawezekana Lema anafanikiwa sana Kisiasa kutokana na ushirikiano mzuri wa Kiurembo kutoka kwa Mkewe ambao humtia moyo Mumewe na kuweza kuchapa kazi vizuri na kuwa Mtendaji na Mwanasiasa mzuri.
- Tabasamu zuri
- Macho mazuri
- Komwe zuri
- Miguu myembamba inayokubali Nguo zozote na hali ya hewa yoyote ile
- Meno yake yamejipanga na yamepangika kimwonekano
- Ana superb body structure kuanzia mabegani Kwake hadi Magotini
- Anajua kupangilia nguo vizuri na zinampendeza hasa
Kuna wengine Wake zenu huwa kila nikiwaona nao huwa najiuliza mlioa wenyewe kwa Utashi wenu au mlikabidhishwa tu Kimila hivyo kama mngewakataa mngelaaniwa!
Sijui na Mimi nitapata wapi Mke mzuri kama wa Mbunge wa Arusha mjini Mheshimiwa Godbless J. Lema Dada Neema ili nami niweze kutamba nae mjini hapa.
Mbona hana uzuri wowote
Atachoka tu atatafuta mnyarwanda mwenzake.So sad indeed maskini ningekuwa Mimi ningetafta namna
Mi ingekuwa long tu aisee lohAtachoka tu atatafuta mnyarwanda mwenzake.