Wanasiasa wote wa Kiume Wake zao wangekuwa wazuri kama wa Lema ingependeza sana

Usitamani mwanamke asiye mke wako. Fikra za uzinzi hizo. Unazijua changamoto za familia yake au ndio yale ya kutazama na kutoa judgement?? Pole sana mkuu
 
Mke wa marehemu deo filikunjombe ni hata ree we huwajui wote wake wa viongozi
Umemuona mara ya mwsho lini...
Sasa hivi kanenepa kawa mbaaaya...na hivi hana shepu.
Mh sura imejaa km nini
Better alivyokuwa kimodo ...
By the way mwanamke kunnenepa baada ya kufa mumewe ina ashiria nn..[emoji12] [emoji12]
 
Umemuona mara ya mwsho lini...
Sasa hivi kanenepa kawa mbaaaya...na hivi hana shepu.
Mh sura imejaa km nini
Better alivyokuwa kimodo ...
By the way mwanamke kunnenepa baada ya kufa mumewe ina ashiria nn..[emoji12] [emoji12]
Tatizo Ana deal zake ndo maana ungekuwa anamtegemea deo ndo ingekuwa tatizo
 
Wa makonda mzuri

Mama salma mke wa jk mzuri

Mke wa pinda mzuri

Mke wa mbowe mzuri

Josephine slaa mzuri
Josephine ni hawars wa Dr Slaa, ukumbuke Josephine ni mke wa mtu wa ndoa tena ya kanisani na Padre Slaa anafahamu vyema taratibu za ndoa ya kanisani.
 
Mke wa Dr salim Ahmed salim, enzi za ubora wake ndiye alievunja bendi kwa uzuri.
 
Ee bana me namhesabu ni mke hayo mengine watajua wahusika
Josephine ni hawars wa Dr Slaa, ukumbuke Josephine ni mke wa mtu wa ndoa tena ya kanisani na Padre Slaa anafahamu vyema taratibu za ndoa ya kanisani.
 
Umemuona mara ya mwsho lini...
Sasa hivi kanenepa kawa mbaaaya...na hivi hana shepu.
Mh sura imejaa km nini
Better alivyokuwa kimodo ...
By the way mwanamke kunnenepa baada ya kufa mumewe ina ashiria nn..[emoji12] [emoji12]
Eti nini..deal gani [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] wakati hizo deal ni zilizokua biashara za mumewe...jumbo camera house...mashamba..nk
 
Tupieni na pic za wake zenu tuone sifa zao achaneni na wake za watu uzuri wao wanafahamu waume zao
 
Au la ni Muhaya, au huenda Wahaya na Wanyarwanda wanashahibiana sana.

Acha kuwafananisha Washamba Wahaya na Wanyarwanda Wewe. Tangia lini Washamba wa Kihaya wakawa na mvuto? Ungewafananisha Wakurya, Wajita, Wajaluo na Wazanaki na Wanyarwanda ningekuona wa maana ila siyo hao Wahaya wako. Waambie WAHAYA wote humu na popote pale walipo kuwa GENTAMYCINE anawaambia wao ni Washamba tu.
 
Mods tutoleeni huh Uzi sio mahala pake humu

Ndiyo unaelekea page ya 10 hivyo Mkuu. Vipi bado hawajakusikia tu? Umeshajiuliza ni kwanini wamekupuuza na wameuacha na Wanaume tunatiririka nao tu? Hivi unaelewa maana ya hicho nilichiokiweka hapo katika Signature yangu kuwa Mimi ni Talented and Charismatic? Nyota yangu haina mfano na itaendelea kung'aa, kupendwa na kukubalika hadi mwisho wa dunia na Wewe baki na hiyo Nyota yako ya Bundi na Popo inayokufanya kila siku uonekane takataka tu na wa hovyo hovyo.
 
Wa makonda mzuri

Mama salma mke wa jk mzuri

Mke wa pinda mzuri

Mke wa mbowe mzuri

Josephine slaa mzuri
Uzuri wao mnauju aje jamani au ndio kukosa hoja za kuandika huku J.f.
 
Nadhani anawaza sana,,,nishaona hata mi hilo yaan anaweka picha za maneno ya huzuni tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…