Sakata la Manara tuwaachie TFF!
Walichokiamua wao sisi kama watazamaji tunatakiwa kuheshimu!
Kama kuna rufaa mwacheni mhusika mwenyewe!
Kuilaumu TFF ni ishara ya kupungukiwa hekima; Watu kama ZITTO sikutegemea kabisa waoneshe ujinga hadharani!
Kuna yule pia anajiita Prof. MKUMBO, huyu naye sikutegemea aanike ujinga wake namna hii ni mkumbo tu.
Mambo ya mipira yanaongozwa na kanuni na sheria!
Kanuni zikikiukwa ni lazima kanuni zitumike kuamua!
Mbona watu wasiyo na majina wakihukumiwa huwa hamsemi?
Au kanuni zimewekwa kwa baadhi ya watu hawatakiwi kuguswa?
Wanasiasa pelekeni ujinga wenu huko; Mnajitia mnajua kila kitu hapa duniani, Siasa nyinyi, Mambo ya dini nyinyi, mambo ya vita nyinyi, mapenzi nyinyi na sasa na mambo ya mipira mnajitia wasemaji?
Mlitaka ahukumiwe nani?
Kama Haji manara hakukosea Je aliomba radhi kitu gani?
Kama aliomba radhi maana yake alitenda kosa basi TFF wamemuwajisha kama kanuni inavyotaka!
Wanaosema kwanini KARIA Hakuitwa wanatakiwa wajue, nani kamfuata mwenzake kwenye tukio!..
Kibaka akikuvamia nyumbani kwako hata kama ulimjeruhi kwa kujihami bado mkosaji ni yule KIBAKA aliyekuja kuvamia!
Manara alivamia ndiyo maana kawajibishwa!
Mnaomshauri Manara akate Rufaa mnamjaza ujinga KULE NDIYO WATAMPIGA NYUNDO YA MIAKA 5 na faini juu!
Tena asipokaa sawa watashauriana na AZAM wampokonye kabisa hata king'amuzi ili asiangalie mpira wenyewe!
HAKUNA ALIYE JUU YA SHERIA! wanasiasa uchwara achaneni na mpira!
Ambao hamkumbuki ni kwamba TFF Ilishawahi kumfungia manara kwa miaka 7 , uongozi mpya wa kalia ulipoingia ukasikiliza rufaa yake wakamwachia!