Action and Reaction
JF-Expert Member
- Oct 16, 2021
- 1,438
- 1,496
Alipoingia mzungu, Simba ikaanza kupya na ndipo Yanga walipotake advantage ya kuisumbua Simba!
Uchezaji wa mzungu ni ulele kwanza haoni margin uwanjani pia hakabi, chenga hajui!... Kweli viongozi wa Simba ndo mmetuletea Kocha huyu afanye maajabu na Mzungu wake!..... Matola kwanzia sasa akipangwa mzungu tutakyulaumu wewe!
Yaani unamtoa Chama unamleta mzungu ndani... Kocha lazima alaumiwe!
Kwa kwale hapo hatuna Coach