Action and Reaction
JF-Expert Member
- Oct 16, 2021
- 1,438
- 1,496
Hakika Simba imefungwa kwa sababu ya kocha anadhani bado tuko pre seasonAlipoingia mzungu, Simba ikaanza kupya na ndipo Yanga walipotake advantage ya kuisumbua Simba!
Uchezaji wa mzungu ni ulele kwanza haoni margin uwanjani pia hakabi, chenga hajui!... Kweli viongozi wa Simba ndo mmetuletea Kocha huyu afanye maajabu na Mzungu wake!..... Matola kwanzia sasa akipangwa mzungu tutakyulaumu wewe!
Yaani unamtoa Chama unamleta mzungu ndani... Kocha lazima alaumiwe!
Kwa kwale hapo hatuna Coach
ExactlyKama coacher ndiye aliyemfanya scouting na akaona anafaa... basi hata kocha hatuna aisee!
hatujamaliza hatujamaliza mlete mdhungu mlete mdhungu uyo apo mdhunguuAlipoingia mzungu, Simba ikaanza kupya na ndipo Yanga walipotake advantage ya kuisumbua Simba!
Uchezaji wa mzungu ni ulele kwanza haoni margin uwanjani pia hakabi, chenga hajui!... Kweli viongozi wa Simba ndo mmetuletea Kocha huyu afanye maajabu na Mzungu wake!..... Matola kwanzia sasa akipangwa mzungu tutakyulaumu wewe!
Yaani unamtoa Chama unamleta mzungu ndani... Kocha lazima alaumiwe!
Kwa kwale hapo hatuna Coach
Ni Mpwa wake, I mean ni mtoto wa dada yake kocha😀Nasikia ni shemeji yake kocha sio mchezaji
mmh hiyo avatar ni noumaa 😁😁Kocha nae binadamu mbona ottara kapatia
Mashahidi wa Yehova usiwafaninishea na mambo ya kipumbavu uwe na adabuSio kila mzungu mchezaji wengine ni mashahidi wa yehova