KAGAMEE
JF-Expert Member
- Dec 20, 2013
- 4,457
- 5,454
Hakuna timu inayojielewa inayofurahia draw hvyo poleni sana watani.Nimefatilia mchezo wenu toka sekunde ya kwanza mpka dk ya mwisho na nmegundua yafuatato;
1. Timu haina muunganiko kama mnavyotamba mtaani
2. Kuna wachezaji wengi wana DEGREE na wengne wana MASTERS hvyo tangu ibainike KOCHA ana KADIPLOMA basi hawamsikilizi tena na wanamdharau (from psychological point of view)Hata kama ni ww msomaji huwezi kumsikiliza kwa umakini mtu unayemzidi elimu haijalishi ni elimu ya aina gani.Hapa kuna mengi ya kuandika ila ngoja niishie hapa kwanza.
3. Mmehesabu shot on Target? Je, short off target? Nadhan mlikuwa na hasira hamkuhesabu in short ni kwamba Kocha wa Biashara leo hakupata purukushani kabsa na mipira mingi ameidaka akiwa kwenye comfort zone.Maana yake ni kwamba watu wenu ni wazito sana labda umri nao shida.
4. Acheni kwenda na matokeo uwanjani,Nimeshuhudia shabiki mmoja hapa akirusha ngumi baada ya kuambiwa timu yake mbovu.
5. Luis ,Chama wapeni heshima yao. Mapengo yao yanazidi kupanuliwa tu badala ya kuzibwa.Hapa mwamedi na demu wake sijui waliwaza nini kuwapiga bei.Yaani unauza bunduki SMG unanunua Manati?Then unaenda kupambana na mtu ambae ana mizinga.
6. Mpka sasa taarifa za uhakika ni kwamba bado MO anawaingilia wachezaji katika mambo yao hvyo walio wengi hawapo free kabsa na wamepoteza morali ya kucheza (wote ni mashuhuda).Mwambieni boss aache hizo Demu wake hataliwa awaache tu.
Najua mlipo mnajipa moyo ila ukweli ndo huo watani wangu.Kuna watu huku wanajifanya SIMBA MOTIVATIONAL SPEAKERS wakiongozwa na Mightier hawa wanadhani mpira ni maneno maneno ya hapa JF.
Anyway karibuni kesho KAITABA STADIUM muone Mpira wa wanaume pengne mtavuta hisia za wachezaji wenu mliowapiga bei huku mkijinasibu kwamba mna pesa.
Mightier naomba ukajibu UZI wangu pls.Eeeeheeee nmekumbuka Mo alisema amejipanga na usajili wa mwaka huu atagombania wachezaji na timu kubwa kama Al Ahyl,Mamelod n.k,Hawa waliopo nani anaweza kuwa na namba kwenye hizo timu kubwa?.
Hizo gharama mnazoenda kutumia kimataifa kwann msijenge hata Vituo vya watoto yatima?Maana hakuna la maana mtakalorudi nalo😂😂😂😂
NB:MECHI TATU GOLI 0 (HATA LA OFFSIDE HAMNA)😂😂😂😊😊😊😊😊😊😊