Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ndooSimba ya msimu huu haina makali kabisa
Kunywa MO UBUYU kwanza nikiamua nitakujibu.Nakujibu kwa namba kama ifuatavyo hoja yako ni kweli hamna mtu anapenda timu anayoipenda na kuishabikia ipate sare mara kwa mara ama mufungwa
2. Ni kwe timu yetu na zingine nyingi bado hazina muunganiko maana bado ni mapema kidogo ukizingatia ndo kwanza ligi imeenza
3. Si kweli kwamba wachezaji wa simba ni wasomi sana na kocha hajasoma ndio maana hawamskii wala kufuata maelekezo yake, kocha didie ni msomi sema elimu yake niya ulaya na sisi tuna mjaji kwa elimi yetu ya kiafrika hivi ni vitu wiwili tofaut hivi kwa uelewa wako aliesoma ulaya na alie soma africa nani yuko juu jijibu mwenyewe lessen A ya africa ni sawa na lessen Pro ya ulaya acheni kuongea kishambiki maandazi tuongee kiuana michezo tuusaidie mpira wetu wa Tanzania labda mnataka tumfukuze wala hatufanyi hivo kwa kelele zetu mpka tuamue sisi wenyewe
Leo hii una unasema cocha hajasoma wakat ana lessen Pro ya kwao ulaya na bado huyo huyo ndie ametufikisha robo finally za michuano mikubwa Africa bado amechukua ubigwa wa ligi kuu sasa huo ujasiri wa kumuita mbumbumbu mnautoa wapi iko hivi sio kila mda wewe utakuwa unapata kile unachokitaka wa ushindi na ubingwa kila mwaka, timu zingine nazo zinajipanga kukupiku na kuchkua nafas yako
Pia kwa kuwa simba imechkua ubingwa mara 4 mfululizo na kufika robo fainal mara 2 ndani ya miaka 3 basi inajikuta kila timu inayo kutananayo inapania sana ili kuitoa katk msitari na marengo nk ndio maana ya haya unayoyaona yanatokea
4.Tukija kweny swala la kuuza wachezaji chama na Miquissone
Wanasimba tusikuchukie wala kulalamika kuuzwa chama na Miquissone mbona tulisha fungwa na yanga wakat hao chama na Miquissone wakiwepo!!??
Kwa iyo unataka kutudanganya nini kwamba simba ndo timu ya 1 kuuza wachezaji??? Hujui kama kuuza mchezaji mda mwingine inakuwa lazima na haina jinsiii???
Fikirini faida ya mchezaji pia kupata dili kama walilopanda wakina chama na Miquissone ungekuwa ww ndo mchezaji ukakoseshwa kwa makusudi dili lile ungebaki kweny timu ungecheza kwa kujitoa na ari kubwa kama mwanzo huoni ungecheza chini ya kiwango ili ukifikisha ujumbe kwa Uongozi wako kwa kukubania??
Mnaangalia upande mmoja wa shilingi ikiwa chama na Miquissone ni watoto wako au ndug zako haraf wana pata dili kubwa vile tena mfano kama kwenda kucheza timu kubwa africa kama alahly ambayo ni ndoto ya kila mchezaji wa africa kuchezea harafu ukabaniwe ungejiskiaje, je unependa?? Haya maswali Usinijubu mimi jijibu mwenyewe..
Mbona yanga pia waliuza kisinda?? Ranaldo kauzwa Mess pia kauzwa nk, wala msitubabaishe nyie wachambuzi kama uchambuzibwa mpira umewashinda kachambueni hata Mchele kilichotokea leo ni kwamba yanga hanaga utani linapokuja swala la kucheza mech ya dabi na simba hasa kombe likiwa uwanjani wanajituma sana kuliko kawaida, wanapania sana simba wanachukulia wao ni timu kubwa na watawafunga kirahisi yanga hivo hawajitumi kwa jasho na damu kama wenzie mwisho wa siku wanafungwa,
Nawapongeza yanga lakini nguvu hizo ambao yanga wanatumia wanapocheza na simba kwann wasizitumie kweny michezo mingine kama ya club bingwa africa na kweny ligi leo hii ni mwaka wa 3 mfululizo hawana ubingwa wanaferi wapi nao wanapaswa wajitafakali maana mmhh sio kwa kukamia kule au wao wanasajili na kuundaa timu yao kwa ajili ya kuifunga simba tuu!?! ?? [emoji23][emoji23][emoji23]
5. Umesema kuwa Boss Mo anawaingilia wachezaji sio kweli buana hizo ni porojo na maneno ya kutunga ya watu wa yanga na wasioitakia wala kuipenda timu yetu ili kutaka kutuvurugia wachezaji wetu wamchukie boss wetu pia kutugimbanisha na Boss wetu pendwa
Umesema kwamba mo na demu wake ukimaanisha CEO wetu barbra hiyo haikuhusu wewe wala sisi kama wao wanapendana yaani niwa penzi tatizo liko wapi kwani hawaruhusiwi kuwa mpenzi au kupenda au kupenda!?? Kiongozi gani wa mpira au hata wa siasa haruhusiwi kuwa na mpenz wa kuolewa?? Mbona hata rais we Samia ana mume wake na watoto hizo hoja zetu mbona hazina mashiko aisee kwa iyo unataka kutuaminisha kuwa CEO wetu hata kama mpenz wake sio Boss wetu kwamba hatakiwi kuwa na mpenzi au mume
Huyo huyo Mo na CEO ndo walio tupa ubingwa mara 4 mfululizo na kutufikisha robo finally champions ligi unaanzaje kubeza utendaji kazi wao??? Eti kwa kuwa timu haipati matokeo kwa mda mdogo!??
6. Na mwisho umesema kuwa tunapoteza hera kushiriki michuono ya club bingwa africa na kuwa hizo hera tungezitumia kusajili wachezaji wazuru zaidi nyie yanga mbona mmeshiriki tena kwa kubebwa na sisi simba je nanyie mmeharibu heraa za kukodi dege lile kubwaa tena mmetutia taifa aibu kwa kufungwa mara 2 home and away wapuuzi nyie
7. Ukasema kwamba tuje kesho tuone burudani ya soka ktk uwanja wa kaitaba hivi unadhani yanga haitafungwa na timu yoyote Tanzania au kutoa sare??? Unajidanganya wewe ndo unakwenda na matokeo uwanjani, kumbuka mpira una matokeo ma3 unaweza kupata moja wapobya hayo uwe tayari kuyapokea.. Samahan kwa ujumbe mrefu ila ni ktk kutoa ufafanuzi..
Hata iweje, hatuta acha kuipenda na kuishabikia Simba hizo ngonjera na taatabu zetu wana yanga tusha zizoea kama nyie hamjaiacha wala kuichukia mmevumilia miaka 4 mfululizo hamna hata kombe lolote zaidi ya la alikasusu.. Itakuwa sisi Simba?? Simba NGuvu moja fir ever.
Uliizani tutaona uvivu kukujibuKunywa MO UBUYU kwanza nikiamua nitakujibu.
Akili kubwa saana kiongozi. Umenena vzr saana. Kuna baadhi yetu tunajitia kujua kila kitu wakati hatujui. Na ni hatari ku hukumu kitu kwa hisia zako na sio ukweli. Mwaka jana tunaanza msimu ulioisha tulipoteza game 2 za mwanzo wakasema saana oooh simba hii simba hii lakini mwisho wa siku tulinyanyua kwapa wao wakanyanyua midomo[emoji1683][emoji1683]Nakujibu kwa namba kama ifuatavyo hoja yako ni kweli hamna mtu anapenda timu anayoipenda na kuishabikia ipate sare mara kwa mara ama mufungwa
2. Ni kwe timu yetu na zingine nyingi bado hazina muunganiko maana bado ni mapema kidogo ukizingatia ndo kwanza ligi imeenza
3. Si kweli kwamba wachezaji wa simba ni wasomi sana na kocha hajasoma ndio maana hawamskii wala kufuata maelekezo yake, kocha didie ni msomi sema elimu yake niya ulaya na sisi tuna mjaji kwa elimi yetu ya kiafrika hivi ni vitu wiwili tofaut hivi kwa uelewa wako aliesoma ulaya na alie soma africa nani yuko juu jijibu mwenyewe lessen A ya africa ni sawa na lessen Pro ya ulaya acheni kuongea kishambiki maandazi tuongee kiuana michezo tuusaidie mpira wetu wa Tanzania labda mnataka tumfukuze wala hatufanyi hivo kwa kelele zetu mpka tuamue sisi wenyewe
Leo hii una unasema cocha hajasoma wakat ana lessen Pro ya kwao ulaya na bado huyo huyo ndie ametufikisha robo finally za michuano mikubwa Africa bado amechukua ubigwa wa ligi kuu sasa huo ujasiri wa kumuita mbumbumbu mnautoa wapi iko hivi sio kila mda wewe utakuwa unapata kile unachokitaka wa ushindi na ubingwa kila mwaka, timu zingine nazo zinajipanga kukupiku na kuchkua nafas yako
Pia kwa kuwa simba imechkua ubingwa mara 4 mfululizo na kufika robo fainal mara 2 ndani ya miaka 3 basi inajikuta kila timu inayo kutananayo inapania sana ili kuitoa katk msitari na marengo nk ndio maana ya haya unayoyaona yanatokea
4.Tukija kweny swala la kuuza wachezaji chama na Miquissone
Wanasimba tusikuchukie wala kulalamika kuuzwa chama na Miquissone mbona tulisha fungwa na yanga wakat hao chama na Miquissone wakiwepo!!??
Kwa iyo unataka kutudanganya nini kwamba simba ndo timu ya 1 kuuza wachezaji??? Hujui kama kuuza mchezaji mda mwingine inakuwa lazima na haina jinsiii???
Fikirini faida ya mchezaji pia kupata dili kama walilopanda wakina chama na Miquissone ungekuwa ww ndo mchezaji ukakoseshwa kwa makusudi dili lile ungebaki kweny timu ungecheza kwa kujitoa na ari kubwa kama mwanzo huoni ungecheza chini ya kiwango ili ukifikisha ujumbe kwa Uongozi wako kwa kukubania??
Mnaangalia upande mmoja wa shilingi ikiwa chama na Miquissone ni watoto wako au ndug zako haraf wana pata dili kubwa vile tena mfano kama kwenda kucheza timu kubwa africa kama alahly ambayo ni ndoto ya kila mchezaji wa africa kuchezea harafu ukabaniwe ungejiskiaje, je unependa?? Haya maswali Usinijubu mimi jijibu mwenyewe..
Mbona yanga pia waliuza kisinda?? Ranaldo kauzwa Mess pia kauzwa nk, wala msitubabaishe nyie wachambuzi kama uchambuzibwa mpira umewashinda kachambueni hata Mchele kilichotokea leo ni kwamba yanga hanaga utani linapokuja swala la kucheza mech ya dabi na simba hasa kombe likiwa uwanjani wanajituma sana kuliko kawaida, wanapania sana simba wanachukulia wao ni timu kubwa na watawafunga kirahisi yanga hivo hawajitumi kwa jasho na damu kama wenzie mwisho wa siku wanafungwa,
Nawapongeza yanga lakini nguvu hizo ambao yanga wanatumia wanapocheza na simba kwann wasizitumie kweny michezo mingine kama ya club bingwa africa na kweny ligi leo hii ni mwaka wa 3 mfululizo hawana ubingwa wanaferi wapi nao wanapaswa wajitafakali maana mmhh sio kwa kukamia kule au wao wanasajili na kuundaa timu yao kwa ajili ya kuifunga simba tuu!?! ?? [emoji23][emoji23][emoji23]
5. Umesema kuwa Boss Mo anawaingilia wachezaji sio kweli buana hizo ni porojo na maneno ya kutunga ya watu wa yanga na wasioitakia wala kuipenda timu yetu ili kutaka kutuvurugia wachezaji wetu wamchukie boss wetu pia kutugimbanisha na Boss wetu pendwa
Umesema kwamba mo na demu wake ukimaanisha CEO wetu barbra hiyo haikuhusu wewe wala sisi kama wao wanapendana yaani niwa penzi tatizo liko wapi kwani hawaruhusiwi kuwa na mpenzi au kupendana au kupenda!?? Kiongozi gani wa mpira au hata wa siasa haruhusiwi kuwa na mpenz wa kuolewa?? Mbona hata rais we Samia ana mume wake na watoto hizo hoja zenu mbona hazina mashiko aisee kwa iyo unataka kutuaminisha kuwa CEO wetu hata kama mpenz wake sio Boss wetu kwamba hatakiwi kuwa na mpenzi au mume
Huyo huyo Mo na CEO ndo walio tupa ubingwa mara 4 mfululizo na kutufikisha robo finally champions ligi unaanzaje kubeza utendaji kazi wao??? Eti kwa kuwa timu haipati matokeo kwa mda mdogo!??
6. Na mwisho umesema kuwa tunapoteza hera kushiriki michuono ya club bingwa africa na kuwa hizo hera tungezitumia kusajili wachezaji wazuru zaidi nyie yanga mbona mmeshiriki tena kwa kubebwa na sisi simba je nanyie mmeharibu heraa za kukodi dege lile kubwaa tena mkatolewa kijinga, mmetutia taifa aibu kwa kufungwa mara 2 home and away wapuuzi nyie tena unaanza kuiponda na kuikandia simba mkubwa wako hujui hata mchezo wa juzi ngao wa jamii hamkusitahili kucheza maana anatakiwa kucheza aliekuchua ubi3wa ligi kuu na akiekuchua ubingwa wa Shirikisho yaani FA sasa vyote tulichukua sisi mabingwa wa nchi nyie mepewa tu ofa ya kucheza na sisi kihuruma na kimakosa haya tuambie wewe umecheza ngao ya jamii baada ya kuwa bingwa wa nini[emoji23][emoji23][emoji23] inabidi kutunyanganye kombe la mbao ya jamii maana husitahili
7. Ukasema kwamba tuje kesho tuone burudani ya soka ktk uwanja wa kaitaba hivi unadhani yanga haitafungwa na timu yoyote Tanzania au kutoa sare??? Unajidanganya wewe ndo unakwenda na matokeo uwanjani, kumbuka mpira una matokeo ma3 unaweza kupata moja wapobya hayo uwe tayari kuyapokea.. Samahan kwa ujumbe mrefu ila ni ktk kutoa ufafanuzi..
Hata iweje, hatuta acha kuipenda na kuishabikia Simba hizo ngonjera na taatabu zetu wana yanga tusha zizoea kama nyie hamjaiacha wala kuichukia mmevumilia miaka 4 mfululizo hamna hata kombe lolote zaidi ya la alikasusu.. Itakuwa sisi Simba?? Simba NGuvu moja fir ever.
Ongeza Simba amewwhi fungwa na Mbao FC wakishuka daraja na chama akiwa ndani so cha ajab nini?Nakujibu kwa namba kama ifuatavyo hoja yako ni kweli hamna mtu anapenda timu anayoipenda na kuishabikia ipate sare mara kwa mara ama mufungwa

Walikuwa wananunua mechi hao.Simba ya msimu huu haina makali kabisa
Sawa basi liaMO kauza Wachezaji tegemeo akaenda kununua Mabasi Matatu.
Mkuu unapoteza muda kumjibu huyu shabiki wa nyani fc kama avatar yake ilivyoNakujibu kwa namba kama ifuatavyo hoja yako ni kweli hamna mtu anapenda timu anayoipenda na kuishabikia ipate sare mara kwa mara ama mufungwa

Unateseka wew na avatar yako kama kocha wenu alivyowaita manyaniUnateseka ukiwa wap Kolo?
Kumbe umesikia nikajua umeshuhudiaMkuu nasikia mhindi kashazira kiaina
Ndugu yangu hayo mambo tumuachie mo mwenyeweNimesikia mtani