Wanasimba naomba mpite hapa niwaambie kitu (vitu)

Wanasimba naomba mpite hapa niwaambie kitu (vitu)

Hao wameanza fuatilia mpira leo mdau mambo ya misimu iliyopita hawayajui......eti pira biriani pasi nyingi uwanja wenyewe ule ukipiga mpiea rula unadunda dunda mpaka unamfikia mchezaji ushapoteza muelekeo....


Pambaneni viwanja viwekwe nyasi bandia
Simba kashawahi kukalishwa Kaitaba, Mkapa na vyote vina nyasi bandia.
 
Siku zote vipaji vikubwa vikubwa huwa vinaibuliwa Simba, kina Chama na Micquissone walipoingia Simba ukali haukuonekana mwanzoni, baaaadae ndo tumeona balaa lao, hao wengine ndani ya Simba wataibuka tu ni suala la muda!
Chama alicheza zaidi ya mechi kumi ndiyo performance yake ikaja kuonekana.

Tujipe muda Utopolo wataanza lawama kwa marefa , tff nk Hawaendi kokote wale.
 
Back
Top Bottom