Kobello
JF-Expert Member
- Feb 20, 2011
- 8,967
- 8,547
Simba kashawahi kukalishwa Kaitaba, Mkapa na vyote vina nyasi bandia.Hao wameanza fuatilia mpira leo mdau mambo ya misimu iliyopita hawayajui......eti pira biriani pasi nyingi uwanja wenyewe ule ukipiga mpiea rula unadunda dunda mpaka unamfikia mchezaji ushapoteza muelekeo....
Pambaneni viwanja viwekwe nyasi bandia