Hao wameanza fuatilia mpira leo mdau mambo ya misimu iliyopita hawayajui......eti pira biriani pasi nyingi uwanja wenyewe ule ukipiga mpiea rula unadunda dunda mpaka unamfikia mchezaji ushapoteza muelekeo....
Siku zote vipaji vikubwa vikubwa huwa vinaibuliwa Simba, kina Chama na Micquissone walipoingia Simba ukali haukuonekana mwanzoni, baaaadae ndo tumeona balaa lao, hao wengine ndani ya Simba wataibuka tu ni suala la muda!