Mario Kejob
JF-Expert Member
- Apr 14, 2020
- 441
- 536
Tatizo lililopo hapa ni mfumo. Wachezaji walioondoka waliacha mfumo wa uchezaji ambao waliobaki wameshindwa kuufuata. Na hao walikuwa wanatengeneza rhythm ya timu na jinsi itakavyo flow na kushambulia.
Kinachotakuwa kufanyika ni kurudi kwenye flow iliyozoeleka ya pira biriani la pasi nyingi mpaka goli linapatikana kuliko kinachofanyika sasa hivi kutumia mipira ambayo haijazalisha goli lolote katika mechi tatu sasa.
Wale mabwana walioondoka walikuwa wanachangia 60% ya magoli na assists zote. Walikuwa ni miamba kweli kweli.
Kuanzisha mfumo mpya au rhythm mpya ni kazi kweli. Wapenzi wa Msimbazi watakuwa na kipindi kigumu sana kuukabili ukweli wakati suluhisho likiendelea kutafutwa. Mpaka sasa hivi kocha hana first eleven ya wachezaji waliopo na ndio ujue kazi ngumu kiasi gani.
Ma-striker wetu wote ambao si wanyumbulifu hawatokuwa na mchango mkubwa msimu huu kwani mpishi wao hayupo tena na upangaji wa timu bado inamshinda kocha wetu. Ningependa kuona anawapa game time ya kutosha hao wanaodhania kuziba mapengo ya walioondoka lakini simuoni kufanya hivyo. Ni kama tu amechanganyikiwa.