Wanasimba njoo hapa mseme ukweli

Ikabidi Kila mtu apambane na hali yake[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Ambacho umekosea au hukuwaakini au hujui mpira ni kuwa kilichobadilisha mchezo wote ni Kocha NABI kubadilisha formation, fei kurudi nyuma, Aziz Ki kurudishwa kati.
Acheni kumlaumu kocha wenu

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Hakufanya lolote maana kipindi cha kwanza Aziz master Ki alikua anachezeshwa pembeni hvo akawa anashindwa kupiga pasi za akili kwa mayele!lkn kipindi cha pili mmeona wote kilichotokea na goli la kwanza alifunga kabla ya kanoute na chama kutoka!
 
MO anajitahidi sana kuweka pesa yake Simba.
Ila kuna wajanja wanamzidi akili.

Wachezaji wanaosajiri Simba hawana tofauti na wachezaji wa nyumbani.

Msimu huu mchezaji ni yule Beki tu.
Wengine hata msuri wa mpira hawana.

Pia Matola kama kocha msaidizi ni lazima kwanza amsaidie kocha mgeni.

Unaenda kucheza na Prison alaf unampanga Mzungu ambaye hata mazoezi na timu yake hajafanya.

Unamwacha Onyango na Kapombe kwenye Dabi unategemea nini.

Simba tuna msimu mwingine mzima wa kuteseka.
Na kuhusu kombe kwa usajiri huu tusahau tena.

Tutapigwa na prison hadi tukome.
Yanga ndio kabisa watajibwedea tu.
 
How far sure are you?

Watu wanawekeza sehemu ambayo wanajua ela Yao itakuwa safe na watapata wanachotaka

Unadhan GSM ni mjinga kumweka hersi kuwa rais?

Hao Mbet wameweka ela Kwa sababu wanajua kuna tajiri pale

Wabongo tujifunze kuheshim watu,

Piga kelele Kwa ela ya asilimia 51 ya hisa, uliza wametoa wangapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…