Wanasimba njoo hapa mseme ukweli

Wanasimba njoo hapa mseme ukweli

Mnamsingizia Coach bure tu, hata asingefanya sub yoyote... Kilicho waumiza Simba ni Morrison na Moloko kuingia... Halafu Azizi kurudi kucheza nyuma ya Mayele, hapa ndipo mlizidiwa... Mabeki walijikuta wanapelekewa moto kushoto kwa Morrison na kulia kwa Moloko, walishindwa kuendelea kumkaba Mayele... (1st half Mayele alikabwa na beki wawili) 2nd half ikabidi kila beki apambane na hali yake...
Ikabidi Kila mtu apambane na hali yake[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Kipindi cha kwanza hakuonekama kwa sababu ya viungo wote wa Yanga waliwekwa kwapani na akina Kanoute na Chama, kitendo cha kuwatoa tu, Mayele akafanya yake maana mipira ilikuwa inadondola tu kwa kwake,anaisogeza na kuangalia afungie wapi...hatari sana.
Ambacho umekosea au hukuwaakini au hujui mpira ni kuwa kilichobadilisha mchezo wote ni Kocha NABI kubadilisha formation, fei kurudi nyuma, Aziz Ki kurudishwa kati.
Acheni kumlaumu kocha wenu

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Kipindi cha kwanza hakuonekama kwa sababu ya viungo wote wa Yanga waliwekwa kwapani na akina Kanoute na Chama, kitendo cha kuwatoa tu, Mayele akafanya yake maana mipira ilikuwa inadondola tu kwa kwake,anaisogeza na kuangalia afungie wapi...hatari sana.
Hakufanya lolote maana kipindi cha kwanza Aziz master Ki alikua anachezeshwa pembeni hvo akawa anashindwa kupiga pasi za akili kwa mayele!lkn kipindi cha pili mmeona wote kilichotokea na goli la kwanza alifunga kabla ya kanoute na chama kutoka!
 
MO anajitahidi sana kuweka pesa yake Simba.
Ila kuna wajanja wanamzidi akili.

Wachezaji wanaosajiri Simba hawana tofauti na wachezaji wa nyumbani.

Msimu huu mchezaji ni yule Beki tu.
Wengine hata msuri wa mpira hawana.

Pia Matola kama kocha msaidizi ni lazima kwanza amsaidie kocha mgeni.

Unaenda kucheza na Prison alaf unampanga Mzungu ambaye hata mazoezi na timu yake hajafanya.

Unamwacha Onyango na Kapombe kwenye Dabi unategemea nini.

Simba tuna msimu mwingine mzima wa kuteseka.
Na kuhusu kombe kwa usajiri huu tusahau tena.

Tutapigwa na prison hadi tukome.
Yanga ndio kabisa watajibwedea tu.
 
How far sure are you?

Watu wanawekeza sehemu ambayo wanajua ela Yao itakuwa safe na watapata wanachotaka

Unadhan GSM ni mjinga kumweka hersi kuwa rais?

Hao Mbet wameweka ela Kwa sababu wanajua kuna tajiri pale

Wabongo tujifunze kuheshim watu,

Piga kelele Kwa ela ya asilimia 51 ya hisa, uliza wametoa wangapi
 
Back
Top Bottom