mkushi wa kushi
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 657
- 993
Ikabidi Kila mtu apambane na hali yake[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Mnamsingizia Coach bure tu, hata asingefanya sub yoyote... Kilicho waumiza Simba ni Morrison na Moloko kuingia... Halafu Azizi kurudi kucheza nyuma ya Mayele, hapa ndipo mlizidiwa... Mabeki walijikuta wanapelekewa moto kushoto kwa Morrison na kulia kwa Moloko, walishindwa kuendelea kumkaba Mayele... (1st half Mayele alikabwa na beki wawili) 2nd half ikabidi kila beki apambane na hali yake...