Wanasimba SC njooni hapa tufanye maamuzi sahihi tumfukuze kocha au tuwafukuze wachezaji?

Wanasimba SC njooni hapa tufanye maamuzi sahihi tumfukuze kocha au tuwafukuze wachezaji?

ICU
 
Attachments

  • WA_20231105_202625.jpg
    WA_20231105_202625.jpg
    40.2 KB · Views: 1
  • WA_20231105_202624.jpg
    WA_20231105_202624.jpg
    29.6 KB · Views: 2
Aish Manula awe golikipa namba 3 au aondoke kutafuta changamoto nyingine, Kapombe asiwe kipaumbele Israel anzishwe Kila mechi. Kocha aondoke, Miwuison atolewe kwa mkopo Ili ameitain kiwango chake. Kuanzia Leo Salim Ally awe kipa no 1. Golikipa amecheza na Al ahily, Wayda, Yanga ameonyesha uwezo mkubwa halafu duny ya Leo unamuacha na kuweka Aish Manula ambaye ametoka kwenye majeruhi na ana historia ya kupigwa magoli mengi sana 4, 5
 
NI KIPA MZURI LAKINI HANA MATCH FITNESS.
 
Yanga leo wametumia kwa usahihi half spaces simba walikuwa wanakaba mtu badala ya kuziba open space very disorganized when they have the ball and when they lose it they're running like chickens without head they don't make compactness when they lose ball.
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]......
Kwamba hapo watakua wanakimbia au wanapupulika....!!!
 
Kwa level ya simba kwa uchezaji ule tuna safari ndefu kufika huko ukiangalia yanga na mamelody sundowns wanavyocheza kwa ushirikiano simba wana kazi kubwa ya kufanya.
NOMA SANA.
 
Kwenye kipingo kama hiki busara ni kurudi nyuma na kufanya tathimini ya makosa ya kiufundi yalikuwa wapi, halafu kama shida ni mfumo hapo tunamgeukia kocha SI kufukuzana bila tathimini tutaharibu zaidi na kuelekea kuwa vibonde, dah!!! lakni inauma[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Back
Top Bottom