mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,307
- 12,410
Habari za muda huu
Naleta mada kibishi hapa jukwaani.
Hivi wanasimba wenzangu hatuwezi kushinikiza Said Ndemla kurudishwa kikosini?
Ukilinganisha Aliondolewa Ndemla akaletwa kanute na Abdulswamadu lakin Abdulswamadu akashindwa kushaine hivyo akatolewa kwa mkopo.
Saiv uongozi unahangaika na mkandala ambae hatujui Kama ataendana na mfumo ama la ,si Bora angerudi tu Ndemla na akipata nafasi hao akina Bwalya , mzamiru ,Nyoni na Mkude si hawataturingia?
Tunaweza kuzuia hiloMbona naskia anaenda CHAMAZI
Kichuya pia Ila sizani Kama kichuya bado anamkataba na simbaLabda kichuya
Ndemla ni kiungo fundi Sana alishampoteza hata huyu kanute kwenye michuano ya Chan mwaka juzi.Mawazo mgando haya kwa timu inayotaka kuchukua caf cl
Lazima tuwe na wachezaji wa ndani,je viungo wa ndani wanamzidi nini Ndemla?acheni vichekesho.. hawa akina ndemla wanajua kucheza ligi za ndani tu ukiwapeleka ccc hawana kitu hawa.. simba inatakiwa i advance kwa kusajili wachezaji wa viwango vya juu zaidi ya akina Ndemla
kwa Ndemla ndio nani.... mana hajulikani tanzania!Tunaweza kuzuia hilo
Ila fraga roho inaniuma sanaFraga, Kahata, Shiboub walitakiwa wawepo Simba hadi mda huu.
Kuna watu wapo Simba hawawafikii hawa jamaa kabisa.
Walimtema kahata wakamleta Duncun Nyoni .Fraga, Kahata, Shiboub walitakiwa wawepo Simba hadi mda huu.
Kuna watu wapo Simba hawawafikii hawa jamaa kabisa.
Toka alivyoenda mtibwa unaona performance yake?Ndemla!!! Hamna kitu mule. Alivyosifiwa ana nguvu za miguu ndio akawa chiizi kabisa, anabutua butua tu off target.
Ni kiwango cha huko huko mtibwa, akija simba itakuwa yale yale, tutaongeza kina mzamiru yasini wengine.Toka alivyoenda mtibwa unaona performance yake?