mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,307
- 12,410
Habari za muda huu
Naleta mada kibishi hapa jukwaani.
Hivi wanasimba wenzangu hatuwezi kushinikiza Said Ndemla kurudishwa kikosini?
Ukilinganisha Aliondolewa Ndemla akaletwa kanute na Abdulswamadu lakin Abdulswamadu akashindwa kushaine hivyo akatolewa kwa mkopo.
Saiv uongozi unahangaika na mkandala ambae hatujui Kama ataendana na mfumo ama la ,si Bora angerudi tu Ndemla na akipata nafasi hao akina Bwalya , mzamiru ,Nyoni na Mkude si hawataturingia?