Cvez
JF-Expert Member
- May 19, 2018
- 4,405
- 13,411
Uongozi wa Simba wekezeni nguvu katika benchi la ufundi na maslahi ya wachezaji na wafanyakazi wa Simba. Tusianze kutafuta mtu wa kuanza kushindana na Haji Manara, era yake ishapita. Tumpe mkataba wa muda mrefu Ezekiel Kamwaga.
Kutafuta mtu dizaini ya Haji Manara kama Mwijaku au Dr Kumbuka ni kuendelea kupoteza muda tu kamwe haisaidii sana sana ni kuendelea kuhangaika na kumpa umaarufu zaidi. Tusimame katika kupata points 3 tu hiyo ndio hamasa tosha mashabiki wanayotaka.