Aisee,Uongozi wa Simba wekezeni nguvu katika benchi la ufundi na maslahi ya wachezaji na wafanyakazi wa Simba. Tusianze kutafuta mtu wa kuanza kushindana na Haji Manara, era yake ishapita. Tumpe mkataba wa muda mrefu Ezekiel Kamwaga.
Kutafuta mtu dizaini ya Haji Manara kama Mwijaku au Dr Kumbuka ni kuendelea kupoteza muda tu kamwe haisaidii sana sana ni kuendelea kuhangaika na kumpa umaarufu zaidi. Tusimame katika kupata points 3 tu hiyo ndio hamasa tosha mashabiki wanayotaka.
Moira wa kisasa hauitaji hayo maujinga.Simba ilishakuwa na muhamasishaji (Haji), hivyo kuondolewa kwake kunafanya kuwe na pengo la mtu wa kuhamasisha. Mimi naona Mwijaku au Dr Kumbuka wote wanafaa.
Simba isipoteua mhamasishaji kutamfanya Haji atambe pekeyake kule mtaa wa pili na utani wa jadi ndio asili yetu Watanzania.
Haji anavyoponda Jezi za Simba kuwa zimejaa Matangazo, lazima apate mtu wa kumjibu hivi vijembe hapo tena ndio inasaidia kutangaza hayo matangazo ya hao wanaodhamini.
Al ahly hawana waropokaji na makombe kama yote ( ndiyo klabu yenye makombe mengi duniani kote)
Nilisema mapema kuwa haji ni mshenzi fulani tu
Klabu kubwa km Simba haihitaji wahamasishaji. Matokeo mazuri uwanjani ndiyo hamasa tosha.Uongozi wa Simba wekezeni nguvu katika benchi la ufundi na maslahi ya wachezaji na wafanyakazi wa Simba. Tusianze kutafuta mtu wa kuanza kushindana na Haji Manara, era yake ishapita. Tumpe mkataba wa muda mrefu Ezekiel Kamwaga.
Kutafuta mtu dizaini ya Haji Manara kama Mwijaku au Dr Kumbuka ni kuendelea kupoteza muda tu kamwe haisaidii sana sana ni kuendelea kuhangaika na kumpa umaarufu zaidi. Tusimame katika kupata points 3 tu hiyo ndio hamasa tosha mashabiki wanayotaka.
Ni upumbavu kufikiri hatuwezi kufikia hivyo viwango vya Waarabu. SIMBA imefikia vizuri kabisa.Ni ujinga kufananisha timu za waarabu na timu za bongo.
Ni upumbavu zaid kumfukuza mtu kama Manara na kuendelea kuwaza utafika Nusu fainal CAFNi upumbavu kufikiri hatuwezi kufikia hivyo viwango vya Waarabu. SIMBA imefikia vizuri kabisa.
Ona hili utoNi upumbavu zaid kumfukuza mtu kama Manara na kuendelea kuwaza utafika Nusu fainal CAF
We are above next levelUongozi wa Simba wekezeni nguvu katika benchi la ufundi na maslahi ya wachezaji na wafanyakazi wa Simba. Tusianze kutafuta mtu wa kuanza kushindana na Haji Manara, era yake ishapita. Tumpe mkataba wa muda mrefu Ezekiel Kamwaga.
Kutafuta mtu dizaini ya Haji Manara kama Mwijaku au Dr Kumbuka ni kuendelea kupoteza muda tu kamwe haisaidii sana sana ni kuendelea kuhangaika na kumpa umaarufu zaidi. Tusimame katika kupata points 3 tu hiyo ndio hamasa tosha mashabiki wanayotaka.
Simba ikienda mbali tena kimataifa na ikachukua ubingwa automatically Hawa majamaa watanyamaza tu,we unadhani wakipigwa nje ndani ,kombe ikachukuliwa ,Simba ikafika tena robo wao wakaishia kwenye hatua za awali unadhani watakuwa na midomo?hata huyo manara atakuwa hana la kuongea mwisho wa siku watagombana wenyewe ,Simba ipige kazi waachane nao matokeo yaongee.Wanashtuka rank ya CAF Simba inapaa tu na back to back inaeendeleaKlabu kubwa km Simba haihitaji wahamasishaji. Matokeo mazuri uwanjani ndiyo hamasa tosha.