Pdidy
Platinum Member
- Nov 22, 2007
- 62,101
- 38,487
Shalom shalom wana simba
Hii mechi yetu itakuwa ngumu sana kuliko wenzetu wa jana
Hivyo ombi langu kwa mungu tujiandae kisaikolojia na msingi wa mawazo tusipate afya ya akili ghafla..
Wakati naangalia jana mpira sehemu kubwa imejaa wenzetu wengi walijipanga na kuamini hawatoboi
Na hata ukiulixa wengi walisema tumekuja kupunguza magoli
Na hata mechi ilipoisha wengi. Walikunywa wakalewa kama vile wameshinda
Ushauri
Tujiandae kisaikolojia tusiumie sana kuona goli kuanzia 3 mpaka 5 tunafungwa leo
Kocha aandae wachezaji kisaikolojia wajipange kupunguza magoli kama wenzao
Kila la kheri
Simba SC