Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya yote yamesababishwa na Luis MisquinsoneTupo Mkuu,
Tupo kabisa TeamZesco.
Lazima Vyura wakae jumamos
Hamna ubavu huoHao zesco tutawafanya kitu kibaya mpaka mtashangaa
Mwaka 1989 ulikuwa na umri gani? Nauliza hivyo kwa sababu timu yako ya Simba ilikuwa ishuke daraja na RTC Kigoma ikaokolewa na Yanga. Leo mwokozi wako unamsusia, akili yako iko sawa kweli?
@shadeeya hawa wana mkia fc tuwaitaje???wapumbavu pekee ndio watakaoishangilia Zesco,
Wazambia ni wazungu mkuu. Du roho mbaya haijengi.Kamati ya roho mbaya kutoka Zambia tuna kikao Mara mojaView attachment 1206086