Wanasimba tutakaoishangilia ZESCO kutoka Zambia siku ya Jumamosi tukutane hapa

Kashuka Daraja Juventus ya Ronaldo sembuse Simba.
Mwaka 1989 ulikuwa na umri gani? Nauliza hivyo kwa sababu timu yako ya Simba ilikuwa ishuke daraja na RTC Kigoma ikaokolewa na Yanga. Leo mwokozi wako unamsusia, akili yako iko sawa kweli?
 
Kamati ya roho mbaya kutoka Zambia tuna kikao Mara moja
 
Kila La Kheri Timu Yangu Pendwa Zesco

Piga hawa Matikiti FC warudi wakafuge vyura
 
Simba kachukua point tatu leo ligi kuu, kesho mapema taifa kuishangilia Zesco United...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…