Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
- #21
Kishaanza kutupiwa virago Mbeya cittycc
Mrisho Ngasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kishaanza kutupiwa virago Mbeya cittycc
Mrisho Ngasa
Ni kweli,aliachana na mama Mariam akampa nyumba moja,mama akauza pesa ilipomuishia akarudi kudai tena hadi mahakamani.
Mbona Boban ni Tajiri !
Alifilisiwa na mke wake baada ya kudai wagawane maliHuyu alikuwa na ghorofa moja kinondoni karibu na shule ya msingi muongo,pia alikua na nyumba pale mkwajuni karibu na baa ya katumba
Sasa zimeenda wapi mpk anadaiwa?
Cha kushangaza tulisikia na kuambiwa Mogella yupo fit sana, ana nyumba kadhaa na daladala na nini?!Fainali uzeeni
Ila ana nyumba mji kasoro bahari kapangishaHuyu si alikuwa na pesa huyu baba yake Mariam Mogella aka get buzy?;Au mke ndo alimfilisi jumla.
Mke alimfilisiCha kushangaza tulisikia na kuambiwa Mogella yupo fit sana, ana nyumba kadhaa na daladala na nini?!
Hawa Ma Celeb sio wa kuwaamini kabisa, kwamba ana mijumba kumbe kapanga, kwamba ana magari kumbe ya kuazima au ya maneja!
Bure kabisa...
Na mna kazi ngumu sana mwaka huu!Baada ya kusoma hili andiko lako nimeona aibu sana !
Utakuta, jengo lake kapangisha kwa bei kufuru,lakini yeye anaenda kupanga kwenye bei nafuu!Huyu super star wetu wa zamani si ana mjengo wake pale kinondoni huyu? Halafu huyu jamaa dakika za mwisho alituletea uyanga yanga !!
Nasisi yanga alituletea usimba dakika za mwishoHuyu super star wetu wa zamani si ana mjengo wake pale kinondoni huyu? Halafu huyu jamaa dakika za mwisho alituletea uyanga yanga !!
Endeleeni kujipendekeza kwa watu na kuwasahau ndugu zenu wenye matatatizo zaidi ya hiyo kodi.Mchezaji wa zamani wa Simba na Taifa Stars Zamoyoni Mogella yuko mbioni kutimuliwa kwenye kota za Urafiki baada ya kulimbikiza kodi mpaka kufikia deni la Tsh mil 5.
Chanzo - Mwananchi .
Ombi - kutoa ni moyo .
[emoji1] [emoji2] nahisi nakujua maana ilo aka la get busy mkuu umenikumbusha A level pale green acres.Huyu si alikuwa na pesa huyu baba yake Mariam Mogella aka get buzy?;Au mke ndo alimfilisi jumla.
Aaaah mchangieni mchezaji wenu[emoji3] [emoji3] [emoji3]Nasisi yanga alituletea usimba dakika za mwisho