Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa hujiui ni mtaji tosha?Hizo nyumba za kinondoni ndo mwisho wa matatizo au?
Huyu super star wetu wa zamani si ana mjengo wake pale kinondoni huyu? Halafu huyu jamaa dakika za mwisho alituletea uyanga yanga !!
Wapangaji wenyewe wapo sasa ?Sasa hujiui ni mtaji tosha?
Maana ile ghorofa ni nzuri na imekaa pazuri ndio maana nimeshangaa maana akipangisha miezi 6 tu amelipa hiyo mil 5
Yes ana nyumba next to Katumba BarHuyu alikuwa na ghorofa moja kinondoni karibu na shule ya msingi muongo,pia alikua na nyumba pale mkwajuni karibu na baa ya katumba
Sasa zimeenda wapi mpk anadaiwa?
Huyu alikuwa na ghorofa moja kinondoni karibu na shule ya msingi muongo,pia alikua na nyumba pale mkwajuni karibu na baa ya katumba
Sasa zimeenda wapi mpk anadaiwa?
kwani kaacha kazi nssf yule bibie!?Huyu huyu Pili aliyekua NSSF?
ila mzuri yule Dada..hasa akivua..hachoshi..samahani mogellaMnapooa jaribuni kuangalia na majina ya hao wanawake zenu , majina mengine ni soo .
Kwahio kumtaja Mogela kuwa kafulia ni sawa ila kumtaja mkewe ni kosa?Mkuu moja ya sheria za jf ni NO NAME MENTIONING