Wanasimba tuungane kumuokoa Zamoyoni Mogella

Wanasimba tuungane kumuokoa Zamoyoni Mogella

Huyu alikuwa na ghorofa moja kinondoni karibu na shule ya msingi muongo,pia alikua na nyumba pale mkwajuni karibu na baa ya katumba
Sasa zimeenda wapi mpk anadaiwa?

Sijajua kama Kafilisika kiasi hicho
Ana Nyumba yake binafsi aliijenga pale karibu na Katumba Bar, Kinondoni Hananasifu/Moscow
Pili alikuwa na Nyumba ya Gorofa moja aliyojenga na Mkewe Pili, pale jirani na Shule ya Mwongozi, Jirani na Nyumba ya Liyumba waliachana na na Mkewe Pili mwaka juzi na waliishi nyumba moja kwa kugawana floor, lakini mwisho waliafikiana kuiuza hiyo Nyumba na waligawana
So Zàmoyoni alibakiwa na Nyumba ya Mkwajuni aliyoijenga mwenyewe, na pia alikuwa ana Maroli yale ya kizamani Fiati 682 Mbaula ambayo alikiwa anayatumia kubebea mafuta machafu kwa ajili ya viwanda vya sabuni,
Wapi alipoteleza mpaka kufilisika hivyo?
 
Back
Top Bottom