Wanasimba tuungane kumuokoa Zamoyoni Mogella

Wazee wa kale umetukumbusha enzi za simba "mabingwa Afrika Mashariki na Kati" miaka ya tisini
 
Uhuni huo pesa alizokuwa analipwa akiitumikia simba spt hakujenga zake kajilusha nazo zetu ziwe za matatizo yake kutakuwa hakuna usawa hapo
 
ukidaiwa pesa nyingi hivyo ya kodi huwezi kufukuzwa hata siku moja.

akilipa tu hilo deni ndiyo atafukuzwa.

Nashauri changeni pesa ya kumtorosha akaishi sehemu nyingine.
Perfect.
Huu ndio ushauri wa maana katika mazingira ya sasa ya ukata wa vyuma kukaza.

Ni bora wapenzi wa Simba wakamtafutia kiwanja cha kujenga popote na hiyo michango yao ya kuweza kufikia milioni Tano ajengewe hata kibanda cha vyumba viwili akaishi humo, ili siku akitimuliwa kwenye hiyo nyumba ya Urafiki anaishia kusepa zake kwenye kibanda chake.
 
Wanasema ni pango la ofisi zake,yeye ana maisha poa tuu.
 
Kama yupo Vizuri alipe madeni, akumbuke kuwa yeye ni maarufu aliyetumikia mioyo yetu hatutakubali kuona anadhalilika
 
Mchezaji wa zamani wa Simba na Taifa Stars Zamoyoni Mogella yuko mbioni kutimuliwa kwenye kota za Urafiki baada ya kulimbikiza kodi mpaka kufikia deni la Tsh mil 5.

Chanzo - Mwananchi .

Ombi - kutoa ni moyo .
Mo analijua hili? Kwani Haji kasemaje?
 
Mchezaji wa zamani wa Simba na Taifa Stars Zamoyoni Mogella yuko mbioni kutimuliwa kwenye kota za Urafiki baada ya kulimbikiza kodi mpaka kufikia deni la Tsh mil 5.

Chanzo - Mwananchi .

Ombi - kutoa ni moyo .
Zamoyoni huyu huyu Golden boy!! Dah! Hebu mikia futeni hiyo aibu.
 
Mkuu moja ya sheria za jf ni NO NAME MENTIONING
Nadhani sheria inakataza kumtaja jina member wa JF mwenye ID ya giza , hata kama unamfahamu , si kutaja majina kama huyu alivyomtaja mke wa Mogella
 
Kama ambavyo Lunyamila dakika za mwisho alivyoleta usimba simba

Unajua Hawa wachezaji huwa wanajisahau sana; ukiwa Simba hupaswi kwenda yanga kwasababu mipango mizuri ya pesa na Utu upo Simba tu; Na sio yanga, ndo maana wanarudi kutulilia!! Msubilini Na Ngasa mtakuja kumsikia!!!! Ni Afadhali mchezaji aende timu yoyote ila sio yanga!!!
Usichezee Mnyama!!!! Watu wake tupo Makini, Madhubuti!!! Acha kabisa!!!
 
Huyu alikuwa na ghorofa moja kinondoni karibu na shule ya msingi muongo,pia alikua na nyumba pale mkwajuni karibu na baa ya katumba
Sasa zimeenda wapi mpk anadaiwa?
Hizo nyumba za kinondoni ndo mwisho wa matatizo au?
 
Ukweli mtupu !
 
Hapo kariakoo mtaa nimeusahau wana flemu za maduka si chini ya 30-40 wamepangisha anashindwaje kulipa pesa kidogo hivyo? Kujidhalilisha huku jamani....
 
yule Alex sjui Nani aliekuwa nakina papaa msofe alichezea tim gan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…