Wanasimba wenzangu naomba niwapongeze kwa shughuli kubwa tuliyoifanya hapo jana

Expensive life

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2020
Posts
2,971
Reaction score
9,437
Sisi ndiyo Simba, ile kauli ya nguvu moja huwa ina balaaa usiombe ukutane nayo.

Makelele yalikuwa mengi sana hapa mjini, oohhhh kombe kombe, kibaya zaidi wakatutukania kocha wetu. 😡

Nyie Yanga mkae mkijua shughuli haijaisha tunapanda ndege na nyie tunaenda kuwazika huko ngeledeki.🤫
 
shauri zenu, msije tu kulia na kuweka matanga
 
Sisi ndiyo Simba, ile kauli ya nguvu moja huwa ina balaaa usiombe ukutane nayo.

Makelele yalikuwa mengi sana hapa mjini, oohhhh kombe kombe, kibaya zaidi wakatutukania kocha wetu. 😡

Nyie Yanga mkae mkijua shughuli haijaisha tunapanda ndege na nyie tunaenda kuwazika huko ngeledeki.🤫
kupanda ndege mna hela!!!
MGUNDA NA ANDAZI BORA ANDAZI kwani we unaonaje?
 
andikeni wosia na urithi kabisa kwa ndugu zenu
 
Back
Top Bottom