Sisi ndiyo Simba, ile kauli ya nguvu moja huwa ina balaaa usiombe ukutane nayo.
Makelele yalikuwa mengi sana hapa mjini, oohhhh kombe kombe, kibaya zaidi wakatutukania kocha wetu. π‘
Nyie Yanga mkae mkijua shughuli haijaisha tunapanda ndege na nyie tunaenda kuwazika huko ngeledeki.π€«