KAGAMEE
JF-Expert Member
- Dec 20, 2013
- 4,457
- 5,454
Ndugu zangu wanasimba poleni na stress za hapa na pale juu ya timu yetu.
Tuna uongozi mbovu haijawahi kutokea. How comes unarelease barua ya kupata kocha mkuu wa Mda (MGUNDA) huku hujajiridhirisha kama ana nyaraka zote zinazotakiwa na mamlaka za mpira?
Vetting ya kumchagua imefanyikaje?
Tuna uongozi makini kweli ndugu zangu??
Kama mnavyoona usajili wenyewe ulifanyika kimagumashi (wachezaji wa mafungu).
Njooni tujadiliane kabla timu yetu haijaanguka zaidi.
Achaneni na issue ya Matola hana shida, shida ni uongozi.
Nipo hoves kabisa mimi nahisi kuchanganyikiwa.