Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ifike hatua wanasimba tubebe mabango ya kumkataa Babra na MoTatizo Simba wanamkumbatia Barbra. Ngoja awashughulikie. kuanzia mgogoro na Manara, morisson na Sasa kushindwa kuajiri kocha wa maana na usajili wa striker huyo yupo Simba kujitangaza na sio kupeleka Simba mbele.
Halafu na tumbo tumbo Mgunda akachuna. Si angesema tu kuwa nami ni kanjanja.Ndugu zangu wanasimba poleni na stress za hapa na pale juu ya timu yetu.
Tuna uongozi mbovu haijawahi kutokea. How comes unarelease barua ya kupata kocha mkuu wa Mda (MGUNDA) huku hujajiridhirisha kama ana nyaraka zote zinazotakiwa na mamlaka za mpira?
Vetting ya kumchagua imefanyikaje?
Tuna uongozi makini kweli ndugu zangu??
Kama mnavyoona usajili wenyewe ulifanyika kimagumashi (wachezaji wa mafungu).
Njooni tujadiliane kabla timu yetu haijaanguka zaidi.
Achaneni na issue ya Matola hana shida, shida ni uongozi.
Nipo hoves kabisa mimi nahisi kuchanganyikiwa.
Ina maana ni kishoka?Halafu na tumbo tumbo Mgunda akachuna. Si angesema tu kuwa nami ni kanjanja.
Ange declare kuwa Hana vyeti wasiingie gharama au mbeba tunguli aka kamati ya ufundi.Ina maana ni kishoka?
Wewe ni mtopoloNdugu zangu wanasimba poleni na stress za hapa na pale juu ya timu yetu.
Tuna uongozi mbovu haijawahi kutokea. How comes unarelease barua ya kupata kocha mkuu wa Mda (MGUNDA) huku hujajiridhirisha kama ana nyaraka zote zinazotakiwa na mamlaka za mpira?
Vetting ya kumchagua imefanyikaje?
Tuna uongozi makini kweli ndugu zangu??
Kama mnavyoona usajili wenyewe ulifanyika kimagumashi (wachezaji wa mafungu).
Njooni tujadiliane kabla timu yetu haijaanguka zaidi.
Achaneni na issue ya Matola hana shida, shida ni uongozi.
Nipo hoves kabisa mimi nahisi kuchanganyikiwa.
Mbona unawashwa sana na mambo ya huku?Ifike hatua wanasimba tubebe mabango ya kumkataa Babra na Mo
Akikaa kwenye benchi kesho utakuja kusema nini tena?Bora Matola yeye amejikubali tu ni misheni town, lakini Mgunda hatambuliki CAF.
Oneni vituko vya TFF hivi, eti huu ndio ufafanuzi wao, CAF wanatambuwa Leseni na siyo vyeti mnavyopeana uwanja wa Karume Ilala.