Wanasimba wenzangu tujikumbushe ahadi za Jay Rutty, muda wa utekelezaji ndo huu

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
16,871
Reaction score
39,881
Kampuni ya Jay Rutty ndo ilishinda zabuni ya kutengeneza na kuuza jezi za Simba na kuwa waliweka mezani zaidi ya billion 38,
Hilinlilikuwa jambo tamu masikioni mwa wanasimba

Mbali na mapesa hayo Jay Rutty aliahidi ahadi kedekede

1. Kujenga uwanja Bunju wa Mashabiki zaidi ya 10,000
Hadi Leo kimya

2 Kununua basi la kifari aina Irizar.
Hadi Leo tuna scania letu chakavu

3. Kujenga ofsi ya Kisasa makao makuu ya club.
Hadi Leo timu haina ofsi inafanya mikutano bar

4. Kusajili mchezaji yeyote ambaye atakuwa kipenzi chetu mashabiki.
Yaani kwamba tukisema aje Mabululu, Feisal, Kaharaba, hawa Jay Rutty anawaleta ila hadi Leo tuko tunamgombea Omari Adam na Oscar Kabwiti wa Tp Mazembe

5. Kutoa milion 100 siku ya Simba day.
Hili Bado ngoja tuone utekelezaji

6. Kulipa bonus za wachezaji
Hadi Leo wachezaji wametoka kambini wanadai bonus za mechi ya final CAF CC

Rage alipata kutuita mbumbumbu, yani sisi mashabiki wa Simba ni watu wa kudanganyika kirahisi
downloadfile.png
 
Kampuni ya Jay Rutty ndo ilishinda zabuni ya kutengeneza na kuuza jezi za Simba na kuwa waliweka mezani zaidi ya billion 38,
Hilinlilikuwa jambo tamu masikioni mwa wanasimba

Mbali na mapesa hayo Jay Rutty aliahidi ahadi kedekede

1. Kujenga uwanja Bunju wa Mashabiki zaidi ya 10,000
Hadi Leo kimya

2 Kununua basi la kifari aina Irizar.
Hadi Leo tuna scania letu chakavu

3. Kujenga ofsi ya Kisasa makao makuu ya club.
Hadi Leo timu haina ofsi inafanya mikutano bar

4. Kusajili mchezaji yeyote ambaye atakuwa kipenzi chetu mashabiki.
Yaani kwamba tukisema aje Mabululu, Feisal, Kaharaba, hawa Jay Rutty anawaleta ila hadi Leo tuko tunamgombea Omari Adam na Oscar Kabwiti wa Tp Mazembe

5. Kutoa milion 100 siku ya Simba day.
Hili Bado ngoja tuone utekelezaji

6. Kulipa bonus za wachezaji
Hadi Leo wachezaji wametoka kambini wanadai bonus za mechi ya final CAF CC

Rage alipata kutuita mbumbumbu, yani sisi mashabiki wa Simba ni watu wa kudanganyika kirahisiView attachment 3391311
Hii ndiyo jezi yao ya ushindi
 
Vipi michango ya kuchangia ujenzi wa uwanja hela ziliishia hewan poleo 5imba
 
Kampuni ya Jay Rutty ndo ilishinda zabuni ya kutengeneza na kuuza jezi za Simba na kuwa waliweka mezani zaidi ya billion 38,
Hilinlilikuwa jambo tamu masikioni mwa wanasimba

Mbali na mapesa hayo Jay Rutty aliahidi ahadi kedekede

1. Kujenga uwanja Bunju wa Mashabiki zaidi ya 10,000
Hadi Leo kimya

2 Kununua basi la kifari aina Irizar.
Hadi Leo tuna scania letu chakavu

3. Kujenga ofsi ya Kisasa makao makuu ya club.
Hadi Leo timu haina ofsi inafanya mikutano bar

4. Kusajili mchezaji yeyote ambaye atakuwa kipenzi chetu mashabiki.
Yaani kwamba tukisema aje Mabululu, Feisal, Kaharaba, hawa Jay Rutty anawaleta ila hadi Leo tuko tunamgombea Omari Adam na Oscar Kabwiti wa Tp Mazembe

5. Kutoa milion 100 siku ya Simba day.
Hili Bado ngoja tuone utekelezaji

6. Kulipa bonus za wachezaji
Hadi Leo wachezaji wametoka kambini wanadai bonus za mechi ya final CAF CC

Rage alipata kutuita mbumbumbu, yani sisi mashabiki wa Simba ni watu wa kudanganyika kirahisiView attachment 3391311
Ule mkataba unaanza kufanya kazi rasmi kuanzia msimu unaokuja, kwaio wasingeweza kufanya mambo yoyote kwenye msimu uliokwisha
 
Tujikumbushe aliwahi kushtakiwa kwa Utapeli, Wizi , Ukwepaji kodi na Utakatishaji fedha
 
Mkataba wa JayRutty utaanza Rasmi baada ya Mkataba wa Sandaland utakpoisha. Unachotakiwa kuuliza kwa sasa ni je, mkataba wa Sandaland umeishaisha ili sasa tuanze kuhoji wa JayRutty.
 
Back
Top Bottom