Hii ndiyo jezi yao ya ushindiKampuni ya Jay Rutty ndo ilishinda zabuni ya kutengeneza na kuuza jezi za Simba na kuwa waliweka mezani zaidi ya billion 38,
Hilinlilikuwa jambo tamu masikioni mwa wanasimba
Mbali na mapesa hayo Jay Rutty aliahidi ahadi kedekede
1. Kujenga uwanja Bunju wa Mashabiki zaidi ya 10,000
Hadi Leo kimya
2 Kununua basi la kifari aina Irizar.
Hadi Leo tuna scania letu chakavu
3. Kujenga ofsi ya Kisasa makao makuu ya club.
Hadi Leo timu haina ofsi inafanya mikutano bar
4. Kusajili mchezaji yeyote ambaye atakuwa kipenzi chetu mashabiki.
Yaani kwamba tukisema aje Mabululu, Feisal, Kaharaba, hawa Jay Rutty anawaleta ila hadi Leo tuko tunamgombea Omari Adam na Oscar Kabwiti wa Tp Mazembe
5. Kutoa milion 100 siku ya Simba day.
Hili Bado ngoja tuone utekelezaji
6. Kulipa bonus za wachezaji
Hadi Leo wachezaji wametoka kambini wanadai bonus za mechi ya final CAF CC
Rage alipata kutuita mbumbumbu, yani sisi mashabiki wa Simba ni watu wa kudanganyika kirahisiView attachment 3391311
Ule mkataba unaanza kufanya kazi rasmi kuanzia msimu unaokuja, kwaio wasingeweza kufanya mambo yoyote kwenye msimu uliokwishaKampuni ya Jay Rutty ndo ilishinda zabuni ya kutengeneza na kuuza jezi za Simba na kuwa waliweka mezani zaidi ya billion 38,
Hilinlilikuwa jambo tamu masikioni mwa wanasimba
Mbali na mapesa hayo Jay Rutty aliahidi ahadi kedekede
1. Kujenga uwanja Bunju wa Mashabiki zaidi ya 10,000
Hadi Leo kimya
2 Kununua basi la kifari aina Irizar.
Hadi Leo tuna scania letu chakavu
3. Kujenga ofsi ya Kisasa makao makuu ya club.
Hadi Leo timu haina ofsi inafanya mikutano bar
4. Kusajili mchezaji yeyote ambaye atakuwa kipenzi chetu mashabiki.
Yaani kwamba tukisema aje Mabululu, Feisal, Kaharaba, hawa Jay Rutty anawaleta ila hadi Leo tuko tunamgombea Omari Adam na Oscar Kabwiti wa Tp Mazembe
5. Kutoa milion 100 siku ya Simba day.
Hili Bado ngoja tuone utekelezaji
6. Kulipa bonus za wachezaji
Hadi Leo wachezaji wametoka kambini wanadai bonus za mechi ya final CAF CC
Rage alipata kutuita mbumbumbu, yani sisi mashabiki wa Simba ni watu wa kudanganyika kirahisiView attachment 3391311
Usingehangaika kumjibu umepoteza muda wako bureUle mkataba unaanza kufanya kazi rasmi kuanzia msimu unaokuja, kwaio wasingeweza kufanya mambo yoyote kwenye msimu uliokwisha
Wape muda mbn mtafurahi sana,🤣🤣🤣 na mtashusha nyuzi za kutosha tuUle mkataba unaanza kufanya kazi rasmi kuanzia msimu unaokuja, kwaio wasingeweza kufanya mambo yoyote kwenye msimu uliokwisha