OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Jana watangazaji wa Kenya walikuwa wakitaja sana Kichuya kabla hajaingia,alipoingia mchezo ukabadilika. Mimi namuita mume wa YangaKichuya kona,kwny historia ya hivi karibuni sidhani kama kuna mchezaji hodari kama huyu kutokea Morogoro
Tukumbushane wanasoka mahiri ambao ni ni wenyeji wa moa wa Morogoro. Mimi naanza na Method Mogella Fundi.
Tafadhali endelea
Ahhha haaa niliifuatilia hiyo game,inaonekana watangazaji walikuwa na habari zake sana ,maana tokea kipindi cha kwanza jamaa walikuwa wanamuongelea sana,Mimi Yanga naomba siku itokee miujiza kijana atue jangwaniJana watangazaji wa Kenya walikuwa wakitaja sana Kichuya kabla hajaingia,alipoingia mchezo ukabadilika. Mimi namuita mume wa Yanga
Kumbe wanaweza tengeneza kikosi chao kisha wakaomba mechi na stars hlf bado stars akapigwaAlly Shomari, Ismail Mhesa, Juma Abdul, Shiza Kichuya, Mo Ibrahimu, Hassan Kessy, Mzamiru Yasin, Jonas Mkude, Shomari Kapombe, Aishi Manula n.k

FundiJonas Gerald Mkude
Mohammed Hussein machinga ndiye mtwara Omar Hussein ( Keegan) mfupi Maji ya kunde mwendo wa pikipiki - according Ahmed Jongo ni morogoroMtwara.