Wanasoka mahiri kutoka mkoa wa Morogoro

Wanasoka mahiri kutoka mkoa wa Morogoro

Ally Shomari, Ismail Mhesa, Juma Abdul, Shiza Kichuya, Mo Ibrahimu, Hassan Kessy, Mzamiru Yasin, Jonas Mkude, Shomari Kapombe, Aishi Manula n.k
 
Jana watangazaji wa Kenya walikuwa wakitaja sana Kichuya kabla hajaingia,alipoingia mchezo ukabadilika. Mimi namuita mume wa Yanga
Ahhha haaa niliifuatilia hiyo game,inaonekana watangazaji walikuwa na habari zake sana ,maana tokea kipindi cha kwanza jamaa walikuwa wanamuongelea sana,Mimi Yanga naomba siku itokee miujiza kijana atue jangwani
 
Ally Shomari, Ismail Mhesa, Juma Abdul, Shiza Kichuya, Mo Ibrahimu, Hassan Kessy, Mzamiru Yasin, Jonas Mkude, Shomari Kapombe, Aishi Manula n.k
Kumbe wanaweza tengeneza kikosi chao kisha wakaomba mechi na stars hlf bado stars akapigwa
 
Back
Top Bottom