Wilson Onana alisajiliwa kwa mbwembw sana, tambo zilikuwa nyingi mno, zikihusishwa kuwa eti Simba ilishauriwa na Samwel Etoo kuwa Onana ni mtu nanusu. Baadaya ya msimu kuanza mambo yalikuwa tofauti Onana akawa Si lolote si chochote Uwanjani!
Bila shaka lilikuwa ni suala la muda tu kuvunjiwa Mkataba! Baada ya ujio wa Kocha Benchika kaupepo kazuri kana inyanyua nyota ya Onana! Juzi kacheza muda Mwingi hadi alipoumia na akaingia Mfalme Chama!
Jambo la ajabu ni kuwa Onana kama ameanza kuwa prove wrong mashabiki! Pengine ni mapema sana! Ila ukimya wa mashabiki kuhusu ubovu wa Onana ktk mechi hizi mbili ,hasa juzi unavutia sana.
Jambo la kujifunza ni kuwa Mazingira ya soka la Tanzania ni magumu sana kwa baadhi ya wachezaji wa nje! Haiwezekani mchezaji akawa Bora kwenye ligi ya Ghana au Nigeria aje hapa ghafla tu awe garasa!
Kuna jambo nje ya uwanja!