Wanasoka Wanaoongoza kuwa Majeruhi

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2017
Posts
23,620
Reaction score
52,790
Beki kitasa wa Man Utd, Eric Bailly ameumia tena, safari hii amepata majeraha akiwa na klabu yake katika maandalizi ya msimu mpya (Pre Season).

Baada ya uchunguzi, imethibitika kuwa atakaa nje kwa miezi minne mpk mitano. Licha ya kuwa ni beki mahiri sana, ila amekuwa akikumbwa na majeraha ya mara kwa mara (injury prone).

Leo, tuwataje wanandinga maarufu ambao huwa wanakumbwa na majeraha ya mara kwa mara kiasi cha kutishia ubora wa vipaji vyao.

Mimi naanza na Abou Diaby...
 
Manchester United ile team ukiitolea brand yake ya (umanchester ) inapigwa hata na lipuli Paul nonga ni Bora kuliko Lukaku.
 
Owen Lee Hargreaves
Hatari sana uyu jamaa ndio alifanya nikaanza shabikia Man United.

Nakumbuka nilikua natoka skul primary iyo, nikapita kwenye duka moja kununua bidhaa ndio nikaona ile faul alio ipiga moja kwa moja kipi wa Arsenal, Almunia akabaki kasimama.

Huo ndio mwanzo wangu wa kuishabikia Man United
 
Majeruhi sumu saana yamefanya tusifaidi saana vipaji maridhawa vya hawa mafundi wachache
Santi cazorla
Marco reus
Abou diaby
Jack wilshere
Marc van basten..
Marco Van Basten alikuwa analijua sana goli. So sad alistafu mapema tu kwa majeraha.

Issue kama hiyo inanikumbusha Straika flani hivi wa West Ham alistafu akiwa na miaka 26 si mwingine ni Dean Ashton.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…