Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Beki kitasa wa Man Utd, Eric Bailly ameumia tena, safari hii amepata majeraha akiwa na klabu yake katika maandalizi ya msimu mpya (Pre Season).
Baada ya uchunguzi, imethibitika kuwa atakaa nje kwa miezi minne mpk mitano. Licha ya kuwa ni beki mahiri sana, ila amekuwa akikumbwa na majeraha ya mara kwa mara (injury prone).
Leo, tuwataje wanandinga maarufu ambao huwa wanakumbwa na majeraha ya mara kwa mara kiasi cha kutishia ubora wa vipaji vyao.
Mimi naanza na Abou Diaby...