Wanasoka Wanaoongoza kuwa Majeruhi

EDUARDO DA SILVA alivunjwa wakati ambao ABOU DIABY ana long enjury... Utafiti ukafanywa faster... Ikaonekana EPL marefa ni wagumu kutoa kadi... Huku La LIGA Santander... Matokeo yalionyesha marefa wanapenda sana kutoa kadi na hii imesaidia kuwalinda wachezaji
 
Labda kwa records lakini Mpira wa gaucho ule wa kimaajabu aisee.Tofauti yao ni Seriousness tu.Messi is more serious ndio maana ana records nzuri zaidi.Nasubiri Mungu amuumbe gaucho mwingine.


Kama ni wa maajabu basi wasingemsahau kwenye top 10 ya wachezaji bora wa muda wote.
 
Gaucho ni mtoto mbona kwa messi! Mwenyewe amekiri kwa mdomo wake " I knew leonel Messi was a better player than me" mimi na wewe nani mpaka tubishe!
Mkuu mbona una fact nyepesi nyepesi hivyo katika vitu serious!! Hizo kauli ni kawaida za wachezaji, si watu wa kukandiana!! Unaweza ukanipa kauli ya messi inayosema gaucho ni cha mtoto tu, hata tukileta quotes za messi juu ya gaucho zitakuwa ni kumpraise tu!!
 

Sawa sheikhe kila mmoja abaki na mtazamo wake, ivyo 2yaache haya yasiyo na faida kwetu, tukasali leo yaumuljumaa
 
Harry maguire
Paul dyabala
Bruno fernandes
Daniel james
Wan bissaka
 
Eduardo da Silver yule jamaa alikuwa fundi sana pale Arsenal ila ile faul aliyochezewa ilihitimisha safari yake ya mpira.
Ilikuwa game na crystal palace kama sikosei.
Stoke city
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…