Slim5
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 28,203
- 37,906
Wenger
Yule wa arsenal jina lake nani?[emoji3]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yule wa arsenal jina lake nani?[emoji3]
Labda kwa records lakini Mpira wa gaucho ule wa kimaajabu aisee.Tofauti yao ni Seriousness tu.Messi is more serious ndio maana ana records nzuri zaidi.Nasubiri Mungu amuumbe gaucho mwingine.
Kabisa, alikuwa ni mtamu mithili bando la chuo.Aisee kama wachezaji wangekuwa laini huyu alikuwa wa kure-new chap
Mkuu mbona una fact nyepesi nyepesi hivyo katika vitu serious!! Hizo kauli ni kawaida za wachezaji, si watu wa kukandiana!! Unaweza ukanipa kauli ya messi inayosema gaucho ni cha mtoto tu, hata tukileta quotes za messi juu ya gaucho zitakuwa ni kumpraise tu!!Gaucho ni mtoto mbona kwa messi! Mwenyewe amekiri kwa mdomo wake " I knew leonel Messi was a better player than me" mimi na wewe nani mpaka tubishe!
Mkuu mbona una fact nyepesi nyepesi hivyo katika vitu serious!! Hizo kauli ni kawaida za wachezaji, si watu wa kukandiana!! Unaweza ukanipa kauli ya messi inayosema gaucho ni cha mtoto tu, hata tukileta quotes za messi juu ya gaucho zitakuwa ni kumpraise tu!!
Sawa mufti.Sawa sheikhe kila mmoja abaki na mtazamo wake, ivyo 2yaache haya yasiyo na faida kwetu, tukasali leo yaumuljumaa
Harry maguireBeki kitasa wa Man Utd, Eric Bailly ameumia tena, safari hii amepata majeraha akiwa na klabu yake katika maandalizi ya msimu mpya (Pre Season).
Baada ya uchunguzi, imethibitika kuwa atakaa nje kwa miezi minne mpk mitano. Licha ya kuwa ni beki mahiri sana, ila amekuwa akikumbwa na majeraha ya mara kwa mara (injury prone).
Leo, tuwataje wanandinga maarufu ambao huwa wanakumbwa na majeraha ya mara kwa mara kiasi cha kutishia ubora wa vipaji vyao.
Mimi naanza na Abou Diaby...
Stoke cityEduardo da Silver yule jamaa alikuwa fundi sana pale Arsenal ila ile faul aliyochezewa ilihitimisha safari yake ya mpira.
Ilikuwa game na crystal palace kama sikosei.
kuna fala alikuwa anaitwa jonathan woodgate
a.k.a miguu ya glass
Dha huyu jamaa yani nadhan no number moja kwa listSanti Carzola
Birmingham CityStoke city