upendodaima
JF-Expert Member
- May 23, 2013
- 4,078
- 4,504
Ila huyo Ally Mayay kasotea sana shule maana nakumbuka kuna kipindi gazeti liliandika 'Ally Mayay apata Yai' nazani ni baada ya kutaga Form Six.Acha ushamba!! Aaron Nyanda ana Post Graduate ya Marketing anafanya kazi TFF kama Afisa Masoko!
Ally Mayay ana Masters and now ni Afisa Biashara Wizara ya Viwanda!!
Kipa wa mbao fc anadigriiHbr wanajamvi
Naomba kujuzwa professional players wenye degree, masters Phd na wale wenye taaluma mbalimbali ikiwemo waliotumiakia taaluma zao huku wakicheza soka lakini pia hata ambao waliacha taaluma zao na kujikita kwenye soka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ana Master Degree ya Education!!Kipa wa mbao fc anadigrii
Mkuu kwenye maisha usikate tamaa,ukianguka,nyanyuka,jipanguse,songa mbele!! Never give up!!Ila huyo Ally Mayay kasotea sana shule maana nakumbuka kuna kipindi gazeti liliandika 'Ally Mayay apata Yai' nazani ni baada ya kutaga Form Six.
Ni kweli kabisa mkuu.Mkuu kwenye maisha usikate tamaa,ukianguka,nyanyuka,jipanguse,songa mbele!! Never give up!!
Duh!Asante Kwasi-Phd in Ejaculatory Studies and Allied Science ( ESAS)
Ally Mayay Tembele awe na Masters tusijue??acheni hizoAcha ushamba!! Aaron Nyanda ana Post Graduate ya Marketing anafanya kazi TFF kama Afisa Masoko!
Ally Mayay ana Masters and now ni Afisa Biashara Wizara ya Viwanda!!
Form sixHiyo zero ya four au six!!
Unawajua wangapi wenye Masters?Ally Mayay Tembele awe na Masters tusijue??acheni hizo
[emoji87] [emoji87]Wanasoka wakibongo aliyejitahidi ana form four yenye division 5
1. van der sar ana masters in sports management
2. giorgio chiellini ana masters in business administration
3. lampard ana degree in latin
4. juan mata ana degree in sports science na finance
waliobaki ni kama DAP wenu
Ally Mayai ana Ordinary Diploma in Business Administration aliipata CBE Dar, hana Degree wala MastersAcha ushamba!! Aaron Nyanda ana Post Graduate ya Marketing anafanya kazi TFF kama Afisa Masoko!
Ally Mayay ana Masters and now ni Afisa Biashara Wizara ya Viwanda!!
Tshishimbi atakufukunyua mariñda.mshamba weweNiliwahi kusikia Ricardo Kaka ni Mbobezi wa masuala ya Uchumi sijajua kama ni kweli.
NB:Tshishimbi pia nasikia ana Taaluma ya Secretarial.