Wanasoka wenye degree na taaluma mbalimbali nje ya soka

Wanasoka wenye degree na taaluma mbalimbali nje ya soka

Acha ushamba!! Aaron Nyanda ana Post Graduate ya Marketing anafanya kazi TFF kama Afisa Masoko!

Ally Mayay ana Masters and now ni Afisa Biashara Wizara ya Viwanda!!
Ila huyo Ally Mayay kasotea sana shule maana nakumbuka kuna kipindi gazeti liliandika 'Ally Mayay apata Yai' nazani ni baada ya kutaga Form Six.
 
Hbr wanajamvi

Naomba kujuzwa professional players wenye degree, masters Phd na wale wenye taaluma mbalimbali ikiwemo waliotumiakia taaluma zao huku wakicheza soka lakini pia hata ambao waliacha taaluma zao na kujikita kwenye soka.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kipa wa mbao fc anadigrii
 
1. van der sar ana masters in sports management
2. giorgio chiellini ana masters in business administration
3. lampard ana degree in latin
4. juan mata ana degree in sports science na finance

waliobaki ni kama DAP wenu
 
kwa michezo ya kimarekani kama nba, women soccer player, american football... wachezaji karibu wote wamefika chuo kikuu... na wengine wamemaliza degree zao na masters kabisa
 
1. van der sar ana masters in sports management
2. giorgio chiellini ana masters in business administration
3. lampard ana degree in latin
4. juan mata ana degree in sports science na finance

waliobaki ni kama DAP wenu

Duh! Wangelikuwa waswahili wamesoma ivyo wasingejikita kwenye mpira, wangekimbilia siasa na kujaza matumbo yao
 
Back
Top Bottom