Wanastahili kupewa nishani ya Demokrasia

Lituye

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2015
Posts
1,864
Reaction score
5,695
Kutokana na taifa hili kuvamiwa kijeshi na kikundi cha watu wasio julikana miaka saba ya utawala wao taifa hili lilijazwa hofu watu kutekwa na kuuawa kama kuku, kupiga risasi watu hovyo na wengine kupotezwa.

Wapo wenzetu kutokana na nafasi zao pamoja na hali ya kuogofya bila kutanguliza maslahi yao walisimama kidete kuilinda nchi isipoteze Uhuru wake. Najua wapo wengi walio mpinga Nduli na malaika zake kw uchache nimeona tuwatambue hawa wafuatao:

1. Freeman Aikael Mbowe
2. Tundu A. Lissu
3. Maalim Seif Sharif Hamad
4. Askofu Bagonza
4. Askofu Niwemugizi
5. Askofu Fredrick Shoo
6. Fatma Karume (shangazi
7. Mtume Mwingira
8. Shekhe Issa Ponda
9. Maria Sarungi
10. Askofu Mwamakula.
11. Adv. Peter Kibatala

Maendeleo hayana vyamaa.
 
Kilikua kikundi pendwa cha walinda legacy!!
 
Kwamba Samia ndio alimwakilisha Mungu kutimiza mapenzi yake? Sijaelewa
Samia mwenyewe alisikika Mbeya mbele ya camera akisema hata mkichagua upinzani ccm ndio itakayo tangazwa imeshinda. Ogopa sana technology tunahitaji Katiba mpya ya wananchi na Tume huru ya uchaguzi kwisha kazi.
 
Kutokana na taifa hili kuvamiwa kijeshi na kikundi cha watu wasio julikana miaka saba ya utawala wao taifa hili lilijazwa hofu watu kutekwa na kuuawa kama kuku, kupiga risasi watu hovyo na wengine kupotezwa.

Wapo wenzetu kutokana na nafasi zao pamoja na hali ya kuogofya bila kutanguliza maslahi yao walisimama kidete kuilinda nchi isipoteze Uhuru wake. Najua wapo wengi walio mpinga Nduli na malaika zake kw uchache nimeona tuwatambue hawa wafuatao:

1. FREEMAN AIKAEL MBOWE
2. TUNDU A. LISSU
3. Maalim Seif Sharif Hamad
4. Askofu Bagonza
4. Askofu Niwemugizi
5. Askofu Fredrick Shoo
6. Fatma Karume (shangazi
7. Mtume Mwingira
8. Shekhe Issa Ponda
9. Maria Sarungi
10. Askofu Mwamakula.
11. Adv. Peter Kibatala

Maendeleo hayana vyamaa.
Kipekee kabisa nampa hongera Rais Samia Suluhu kwa kuimarisha democrasia nchini maana sasa Tanzania ni salama na tuna uhuru wa kutosha bila yeye aisee tungeendelea kuona watu watu wasiojulikana
 
Naunga mkono hiyo orodha. Kwenye orodha aongezwe Rais Samia. Wapewe nishani maalum.
 
Samia mwenyewe alisikika Mbeya mbele ya camera akisema hata mkichagua upinzani ccm ndio itakayo tangazwa imeshinda. Ogopa sana technology tunahitaji Katiba mpya ya wananchi na Tume huru ya uchaguzi kwisha kazi.
Aliijua mipango ya mkuu wake. Na alichokisema ndiyo kilichotokea. Haijalishi ulimpa kura nani, aliyetangazwa ni yule aliyemtaka marehemu.
 
Twende kwenye ukweli, kwa Tanzania ya sasa ni nani shujaa wa demokrasia zaidi ya Mama Samia?.
P
Ni mhe mbowe aliyeanzisha wazo la maridhiano kisha akalipeleka kwa magufuri akalikataa , lkn baadaye akalipeleka kwa mhe Rais Samia baada ya mungu kutuamlia ugomvi, na Samia akalikubali na kulifanyia kz ndo maana unayaona haya matunda ya maridhiano...bila mhe mbowe hata Samia alishaonekana ni magufuri wa kike

Sent from my DRA-LX5 using JamiiForums mobile app
 
Kutokana na taifa hili kuvamiwa kijeshi na kikundi cha watu wasio julikana miaka saba ya utawala wao taifa hili lilijazwa hofu watu kutekwa na kuuawa kama kuku, kupiga risasi watu hovyo na wengine kupotezwa.
👆 Huo hapo juu ndio kinachoitwa " Mis-Information"
Ni hatari kwa Usalama wa Taifa hili.
Zaidi ya Kusema kuwa kuna upotoshaji wa hali ya juu, nasema, hii imetokana na mapungufu katika uendeshaji wa jamvii. Hii ni zaidi ya Aibu kwa JF.
 
Kutokana na taifa hili kuvamiwa kijeshi na kikundi cha watu wasio julikana miaka saba ya utawala wao taifa hili lilijazwa hofu watu kutekwa na kuuawa kama kuku, kupiga risasi watu hovyo na wengine kupotezwa.

Wapo wenzetu kutokana na nafasi zao pamoja na hali ya kuogofya bila kutanguliza maslahi yao walisimama kidete kuilinda nchi isipoteze Uhuru wake. Najua wapo wengi walio mpinga Nduli na malaika zake kw uchache nimeona tuwatambue hawa wafuatao:

1. Freeman Aikael Mbowe
2. Tundu A. Lissu
3. Maalim Seif Sharif Hamad
4. Askofu Bagonza
4. Askofu Niwemugizi
5. Askofu Fredrick Shoo
6. Fatma Karume (shangazi
7. Mtume Mwingira
8. Shekhe Issa Ponda
9. Maria Sarungi
10. Askofu Mwamakula.
11. Adv. Peter Kibatala

Maendeleo hayana vyamaa.
Hakika
 
Back
Top Bottom