Wanastahili kupewa nishani ya Demokrasia

Wanastahili kupewa nishani ya Demokrasia

Kutokana na taifa hili kuvamiwa kijeshi na kikundi cha watu wasio julikana miaka saba ya utawala wao taifa hili lilijazwa hofu watu kutekwa na kuuawa kama kuku, kupiga risasi watu hovyo na wengine kupotezwa.

Wapo wenzetu kutokana na nafasi zao pamoja na hali ya kuogofya bila kutanguliza maslahi yao walisimama kidete kuilinda nchi isipoteze Uhuru wake. Najua wapo wengi walio mpinga Nduli na malaika zake kw uchache nimeona tuwatambue hawa wafuatao:

1. Freeman Aikael Mbowe
2. Tundu A. Lissu
3. Maalim Seif Sharif Hamad
4. Askofu Bagonza
4. Askofu Niwemugizi
5. Askofu Fredrick Shoo
6. Fatma Karume (shangazi
7. Mtume Mwingira
8. Shekhe Issa Ponda
9. Maria Sarungi
10. Askofu Mwamakula.
11. Adv. Peter Kibatala

Maendeleo hayana vyamaa.
Mange ni mwehu lkn anastahili nishani hii kabisa, asibaguliwe[emoji23]
 
12. Mtume na Nabii, Godless Lema
 
Back
Top Bottom