Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 57,951
- 32,619
WATUMISHI WA MUNGU TUACHE UNAFIKI ACHENI SIFA ZAKIJINGA MTU AKIWA AMEKUFA
"usiku wa leo nimejikuta kwenye dimbwi kubwa sana la mawazo nikiwaza sana kuhusu maisha yetu ya hapa duniani nimefikilia sana kwamba ipo siku namimi Emmanuel Michael Mwasongwe nitakufa ni swala la mda tu ila nimegudua jambo hili watumishi wa Mungu wengi hatupendani tumejaaa unafiki mtu akiwa hai hata kumsapoti kwenye utumishi wake hamsapoti mnanyamazia kimya hata akiomba sapoti mnajifanya mpo busy sana ngoja msikie ameaguka kiroho au amekufa kila mtu ataongea.
Kila anachofanya watu mnakuwa kama hamuoni ngoja huyo mtu afe hata ambao tulikuwa hatujui umewahi kupiga picha na marehemu tutajua hasa akiwa maarufu utampost kwenye mitandaon yakijamii kuonesha hisia zako umeumia sana maneno mengi mazuri kwake utafikiri marehemu anasoma hayo maneno unayo yaandika kwenye mitandao ya kijamii.
kama unaweza kuposti nyimbo ambazo tulikuwa hatujui kwamba ni marehemu ameimba kwanini ulishindwa kupost akiwa hai,kama unaweza kupost mahubiri ya marehemu akiwa amelala kwanini ulishindwa kupost akiwa hai,kama unaweza kununua jeneza la marehemu ulikuwa wapi kumpa hiyo hela kipindi anaitaji msaada UNAFIKI MBAYA usimsaidie mtu wakati wamatatizo kuonesha umejaa huruma sana msaidie mtu hata wakati akiwa na furaha.
Tuache unafiki kama umewahi kupiga na mtu picha usisubiri afe ndo uanze kuposti ukiweza msifie mtu akiwa hai macho yake yanaona nakusoma ujumbe wake unao msifia pindi akiwa amekufa,ukiweza kumsapoti mtu msapoti akiwa hai sio mpaka afe ndo uanze kujitolea kununua jeneza huo ni uchawi.
mfanyie mtu matendo mema huku macho yake yanaona huo ndio utumishi mwema mbele za Mungu,marehemu hawezi kuona maneno matamu unayo muandikia akiwa amelala,marehemu hawezi kusikia maneno mazuri unayo yasema akiwa amelala,msifie mtu akiwa hai.
Mungu wa mbinguni atusaidie sana.
#AtumediaUpdates